Kuna maofisa uchaguzi wa kata, jimbo na halmashauri. Umeelewa?Vituo 75,000 x Watumishi 5@kituo = 375,000. Na sio 390,824
Kuna maofisa uchaguzi wa kata, jimbo na halmashauri. Umeelewa?
Uwe na card ya CCM
Card ninayo elimu yangu darasa la Saba,nitapata nafasi kweli!
😅😅hata ya kusafisha choo ni sawa tu mkuuUtapata nafasi ya kuosha vyoo pale ofisi ndogo Lumumba.Peleka maombi yako haraka.
😅😅hata ya kusafisha choo ni sawa tu mkuu
Asante mkuuNimekupenda bure tu my dear.
😘😘😘😘😘