Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ratiba ya mwisho ya kampeni za urais inaonyesha wagombea wanaochuana katika Uchaguzi Mkuu, Rais John Magufuli wa CCM atafunga kampeni zake Dodoma huku Tundu Lissu wa CHADEMA akihitimisha Dar es Salaam 27 Oktoba 2020.
Ratiba inaonyesha mgombea wa CCM, Rais John Magufuli ataendelea na kampeni tarehe 19 Oktoba 2020 atakuwa Bagamoyo-Pwani na Tanga. Ratiba hiyo inaonyesha Magufuli hatokwenda mikoa ya Kusini ya Lindi, Mtwara na Ruvuma.
Leo 17 Oktoba 2020 Lissu atakuwa Singida na Dodoma.
===================
Hivi Magufuli alishaenda Mikoa ya Manyara, Arusha na Kilimanjaro?