Uchaguzi 2020 NEC yatoa ratiba ya mwisho: Lissu atafungia Dar, Magufuli Dodoma

Uchaguzi 2020 NEC yatoa ratiba ya mwisho: Lissu atafungia Dar, Magufuli Dodoma

Wakati serikali ina hamasisha watu wajitokeze kwenda kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi mkuu, CHADEMA walikua wakihamasisha watu wa Susie kujiandikisha mbaka ipatikane katiba mpya, chakushangaza baada ya uchaguzi CHADEMA wata lalamika wameibiwa kura.
 
Kabisa mkuu apigwe akiwa mzima kabisa. Akiwa na uwezo wa kukoroma mara 4 akiomba tumletee Gwajima.

Ukisikia Lisu anamuabisha mfalme ndiyo mwaka huu. Magufuli ataaibika kweupeee.
Raha sana kujifariji.
 
Wakati serikali ina hamasisha watu wajitokeze kwenda kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi mkuu, Chadema walikua wakihamasisha watu wa Susie kujiandikisha mbaka ipatikane katiba mpya, chakushangaza baada ya uchaguzi Chadema wata lalamika wameibiwa kura.
Kura ya kwanza kabisa ambayo chadema wataikosa ni ya Lisu.


MAGUFULI4LIFE.
 
Lissu mjanja sana,anataka Magufuli aingie kichwa kichwa kwenye huo mtego ili wapige kura wa CCM waone potelea mbali hata wasipo mpigia mgombea wao maana yupo tayar kwa lolote lile.
 
Back
Top Bottom