Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Hiyo ratiba nimeipendaCHADEMA wameisha idhoofisha CCM tayari, unakimbia jiji ambalo linahadhi 80% ya uchumi wa nchi
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ratiba nimeipendaCHADEMA wameisha idhoofisha CCM tayari, unakimbia jiji ambalo linahadhi 80% ya uchumi wa nchi
Usijidanganye,hali kitaa Ni ngumu, 2015 hali haikuwa ngumu kaa miaka ya 2020,kumbuka kikwete aliajiri walimu Kila mwaka zaidi ya 60 alfu, aliongeza mishahara Kila mwaka,sasa 2020 watu wanahasira sio Cha wasukuma Wala wachaga wote hali Ni ngumu...Msijidanganye lissu uwezo wa kushinda kanda ya ziwa hana ,hafikii hata ya robo ya wafuasi wa lowassa!. Huyu bwana mnampa matumaini bure tu!
Unalalamika tume haipo huru na umeingia kwenye uchaguzi kwa miguu yote huo ni uzwazwa.Ni hivi, atashinda kwa kura, labda tume isiyo huru ya uchaguzi ndio imtangaze Magufuli,Lipumba nk. Imeisha hiyo.
Duuh nyie watuKuna uwezekano jamaa saivi anaogopa kwenda mbali na Gereji zake mbili
Serikali si watu wote?Wakati serikali ina hamasisha watu wajitokeze kwenda kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi mkuu, Chadema walikua wakihamasisha watu wa Susie kujiandikisha mbaka ipatikane katiba mpya, chakushangaza baada ya uchaguzi Chadema wata lalamika wameibiwa kura.
Hana kipalata na wanaomshabikia ni genge la wahuni wenzie😅😅😅😅Kabisaa ata mimi ninawasiwssi lisu hana kitambulisho cha mpiga kura.
Hivi magufuli hajaajili walimu ?Mbona mnapenda kujitia upofu!Usijidanganye,hali kitaa Ni ngumu, 2015 hali haikuwa ngumu kaa miaka ya 2020,kumbuka kikwete aliajiri walimu Kila mwaka zaidi ya 60 alfu, aliongeza mishahara Kila mwaka,sasa 2020 watu wanahasira sio Cha wasukuma Wala wachaga wote hali Ni ngumu...
Mpinzani wa Magufuli sio Lissu peke yake Bali Ni makundi mbali mbali ya jamii, wakulima, wafanyakazi,wafanyabiashara nk
Kwanza fikiria hili una kadi ya chama chako na je mnauzidi mtaji wa ccm kuwa na wanachama wengi ,mna wabunge na madiwani waliopita bila kupingwa je utamshindaje sasa Magu .Ni hivi, atashinda kwa kura, labda tume isiyo huru ya uchaguzi ndio imtangaze Magufuli,Lipumba nk. Imeisha hiyo.
Ameajiri walimu wangapi ukilinganisha na kikwete? Zungumza kwa takwimu.kikwete aliajiri Kila mwaka zaidi ya walimu alfu 60 , Magufuli miaka yote mitano hawafiki walimu alfu 30 aliajiriHivi magufuli hajaajili walimu ?Mbona mnapenda kujitia upofu!
Soma ratiba ndo utajua arusha atakuwa lini ??Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ratiba ya mwisho ya kampeni za urais inaonyesha wagombea wanaochuana katika Uchaguzi Mkuu, Rais John Magufuli wa CCM atafunga kampeni zake Dodoma huku Tundu Lissu wa CHADEMA akihitimisha Dar es Salaam 27 Oktoba 2020.
Ratiba inaonyesha mgombea wa CCM, Rais John Magufuli ataendelea na kampeni tarehe 19 Oktoba 2020 atakuwa Bagamoyo-Pwani na Tanga. Ratiba hiyo inaonyesha Magufuli hatokwenda mikoa ya Kusini ya Lindi, Mtwara na Ruvuma.
Leo 17 Oktoba 2020 Lissu atakuwa Singida na Dodoma.
===================
Hivi Magufuli alishaenda Mikoa ya Manyara, Arusha na Kilimanjaro?
Sasa kumbe unajua magufuli kaajiri sasa shida nini ?? Alafu tuna mcompare kikwete aliekaa miaka 10 na JPM aliekaa miaka 5 serious !..Ameajiri walimu wangapi ukilinganisha na kikwete? Zungumza kwa takwimu.kikwete aliajiri Kila mwaka zaidi ya walimu alfu 60 , Magufuli miaka yote mitano hawafiki walimu alfu 30 aliajiri
Halafu ashinde Dunia simama nishukeTume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ratiba ya mwisho ya kampeni za urais inaonyesha wagombea wanaochuana katika Uchaguzi Mkuu, Rais John Magufuli wa CCM atafunga kampeni zake Dodoma huku Tundu Lissu wa CHADEMA akihitimisha Dar es Salaam 27 Oktoba 2020.
Ratiba inaonyesha mgombea wa CCM, Rais John Magufuli ataendelea na kampeni tarehe 19 Oktoba 2020 atakuwa Bagamoyo-Pwani na Tanga. Ratiba hiyo inaonyesha Magufuli hatokwenda mikoa ya Kusini ya Lindi, Mtwara na Ruvuma.
Leo 17 Oktoba 2020 Lissu atakuwa Singida na Dodoma.
===================
Hivi Magufuli alishaenda Mikoa ya Manyara, Arusha na Kilimanjaro?
Ila tu msituteke.Nanyi nawaombea mpate utimamu walau siku hiyo mshuhudie kushindwa kwenu
Ndo anaenda kuwa rais wako na namna huna we endelea kujaza mi akaunti humu kujifariji kuwa lisu anashinda.Hatuwezi kumpa tena urais mhutu katili,roho mbaya
2015 alifungia Mwanza, 2020 DodomaCHADEMA wameisha idhoofisha CCM tayari, unakimbia jiji ambalo linahadhi 80% ya uchumi wa nchi