Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna aliue Mkuu chini ya jua zaidi ya Mungu mengineyo kujikweza na uijikweza utashushwa Biblia imeandikwaKijana acha kumlinganisha JPM na wakala wa Amsterdam
Sina tatizo na 'Ratiba' ila Kinachonishangaza na Kilichonishangaza ni kuona Mgombea wa CCM anatoa 'Deiwaka' ya 'Kunadiwa' na Makada wengine.Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ratiba ya mwisho ya kampeni za urais inaonyesha wagombea wanaochuana katika Uchaguzi Mkuu, Rais John Magufuli wa CCM atafunga kampeni zake Dodoma huku Tundu Lissu wa CHADEMA akihitimisha Dar es Salaam 27 Oktoba 2020.
Ratiba inaonyesha mgombea wa CCM, Rais John Magufuli ataendelea na kampeni tarehe 19 Oktoba 2020 atakuwa Bagamoyo-Pwani na Tanga. Ratiba hiyo inaonyesha Magufuli hatokwenda mikoa ya Kusini ya Lindi, Mtwara na Ruvuma.
Leo 17 Oktoba 2020 Lissu atakuwa Singida na Dodoma.
===================
Hivi Magufuli alishaenda Mikoa ya Manyara, Arusha na Kilimanjaro?
Kama unahisi anawaogopa subiri tarehe 28 uone huyo msaliti wako akipata 20%Jamaa yako anawaogopa Wamakonde na Wachagga. Mshamba sana jamaa yako
Uzuri ni kwamba Magufuli anakuwa live kwenye TV zote kwaiyo watu wa Kilimanjaro, Mtwara, Kundi, Manyara na Ruvuma nadhani, waingie YouTube kumsikiliza huko.===================
Hivi Magufuli alishaenda Mikoa ya Manyara, Arusha na Kilimanjaro?
Haohao waliojiandikisha ndio wataipigia chadema, nao ni watumishi wauma, wafanyabiashara nkWakati serikali ina hamasisha watu wajitokeze kwenda kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi mkuu, Chadema walikua wakihamasisha watu wa Susie kujiandikisha mbaka ipatikane katiba mpya, chakushangaza baada ya uchaguzi Chadema wata lalamika wameibiwa kura.
Kaskazini atakwenda.subiri umskie Polepole baadaye sa 8 atakuwa na PressHaendi Kaskazini mkuu. Taarifa zinasema kuwa anafuata ripoti ya watu wa kipenyo na haendi Kaskazini yote kasoro Tanga wala haendi kusini yote.
Yani akitoka Tanga anaingia Dodoma ndani ndani huko hadi kwenye kufunga kampeni
Tanga Rukwa KataviTume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ratiba ya mwisho ya kampeni za urais inaonyesha wagombea wanaochuana katika Uchaguzi Mkuu, Rais John Magufuli wa CCM atafunga kampeni zake Dodoma huku Tundu Lissu wa CHADEMA akihitimisha Dar es Salaam 27 Oktoba 2020.
Ratiba inaonyesha mgombea wa CCM, Rais John Magufuli ataendelea na kampeni tarehe 19 Oktoba 2020 atakuwa Bagamoyo-Pwani na Tanga. Ratiba hiyo inaonyesha Magufuli hatokwenda mikoa ya Kusini ya Lindi, Mtwara na Ruvuma.
Leo 17 Oktoba 2020 Lissu atakuwa Singida na Dodoma.
===================
Hivi Magufuli alishaenda Mikoa ya Manyara, Arusha na Kilimanjaro?
Kuna mtu hatakiwi hukoHiyo mikoa watu wa kipenyo wamebaini nini?
Kura za nani,lisu hawez kushinda ki vyovyote maana ubavu huo hana
Hayo maneno hata kwenye kanga yapo.lisu sio lowasa.hazungushi mikono,anamwaga majiWakati serikali ina hamasisha watu wajitokeze kwenda kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi mkuu, Chadema walikua wakihamasisha watu wa Susie kujiandikisha mbaka ipatikane katiba mpya, chakushangaza baada ya uchaguzi Chadema wata lalamika wameibiwa kura.
Mgombea wetu kasema atakuwa wa kwanza kusaini matokeo ikiwa atashindwa kihalali. Wenu je
Kwani Polepole ni mwenyekiti wa NEC?Kaskazini atakwenda.subiri umskie Polepole baadaye sa 8 atakuwa na Press
Kijana acha kumlinganisha JPM na wakala wa Amsterdam
Unalalamika tume haipo huru na umeingia kwenye uchaguzi kwa miguu yote huo ni uzwazwa.
Akae hukohuko anatukera tuleteeni Lissu huyo Msukuma asikanyage huku anatisha raia hatumtaki hana mvuto wowote, sura mbaya, kauli mbaya, lughà mbaya na mtu mbaya sidhani hata Mungu anampenda kama anavyodai mwenyewe maana ni mwongo wa kupindukia.
Akitoka Tanga anaelekea wapi?Uzuri ni kwamba Magufuli anakuwa live kwenye TV zote kwaiyo watu wa Kilimanjaro, Mtwara, Kundi, Manyara na Ruvuma nadhani, waingie YouTube kumsikiliza huko.
Aliishia mkoa wa mtwara Tu kule ruvuma hasa tunduru hajaenda kabisaaaHivi Lissu alishaenda ukanda wa korosho uko plus Ruvuma ???
Ni hivi, atashinda kwa kura, labda tume isiyo huru ya uchaguzi ndio imtangaze Magufuli,Lipumba nk. Imeisha hiyo.