Uchaguzi 2020 NEC yatoa ratiba ya mwisho: Lissu atafungia Dar, Magufuli Dodoma

Uchaguzi 2020 NEC yatoa ratiba ya mwisho: Lissu atafungia Dar, Magufuli Dodoma

Akae hukohuko anatukera tuleteeni Lissu huyo Msukuma asikanyage huku anatisha raia hatumtaki hana mvuto wowote, sura mbaya, kauli mbaya, lughà mbaya na mtu mbaya sidhani hata Mungu anampenda kama anavyodai mwenyewe maana ni mwongo wa kupindukia.
Huyo unayemzungumzia ni baba yako sio rais wangu .
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ratiba ya mwisho ya kampeni za urais inaonyesha wagombea wanaochuana katika Uchaguzi Mkuu, Rais John Magufuli wa CCM atafunga kampeni zake Dodoma huku Tundu Lissu wa CHADEMA akihitimisha Dar es Salaam 27 Oktoba 2020.

Ratiba inaonyesha mgombea wa CCM, Rais John Magufuli ataendelea na kampeni tarehe 19 Oktoba 2020 atakuwa Bagamoyo-Pwani na Tanga. Ratiba hiyo inaonyesha Magufuli hatokwenda mikoa ya Kusini ya Lindi, Mtwara na Ruvuma.

Leo 17 Oktoba 2020 Lissu atakuwa Singida na Dodoma.
===================

Hivi Magufuli alishaenda Mikoa ya Manyara, Arusha na Kilimanjaro?
Hajaenda

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Akae hukohuko anatukera tuleteeni Lissu huyo Msukuma asikanyage huku anatisha raia hatumtaki hana mvuto wowote, sura mbaya, kauli mbaya, lughà mbaya na mtu mbaya sidhani hata Mungu anampenda kama anavyodai mwenyewe maana ni mwongo wa kupindukia.
Ha ha ha aje akiwa maiti
 
2015 mh Magufuli alishinda kwa kura za Kanda ya ziwa,2020 upepo wa Kanda ya ziwa umeelekea kwa Lissu.
Kura milioni mbili alizomzidi lowassa Lissu anaweza zirudisha
 
Tunamtakia Magufuli afya njema. Tumshinde akiwa timamu
.
JamiiForums672091462.jpg
 
Back
Top Bottom