Uchaguzi 2020 NEC yatoa ratiba ya mwisho: Lissu atafungia Dar, Magufuli Dodoma

Uchaguzi 2020 NEC yatoa ratiba ya mwisho: Lissu atafungia Dar, Magufuli Dodoma

Sasa hivi kuna ugonjwa wa ukimwi, kwani watu wote wanavaa kondomu? Hilo la tume kutokuwa huru wala halina mjadala, na uzoefu unaonyesha bila machafuko ni ngumu kupata tume huru ya uchaguzi. Kwahiyo ulitaka watu wasusie ili mjitangaze kushinda kwa ulaini? Ombeni tu ukondoo uendelee, lakini ukondoo ukiisha mtacheka kichina.
Ukondoo ukutoke wewe,maana pamoja na kelele zote bado huachi kushiriki. Unawaza machafuko ili ufaidike na nini,nchi ambazo machafuko yamefanikiwa wamepata nn.
Endelea kuwazia matakoni eti ni lazima machafuko.
 
Huko wanamtaka wamuone tu alivyotinduliwa na kutembea upande upande ila kule ni kijani tu.
Yaani wewe ndiyo Wakusini wakwanza mjinga pia sidhani kama kweli ww ni WA kusini,sijui upo kusini ipi ambayo kuna wajinga kama wewe...
Kuanzia Masasi,newala, Tandahimba,liwale na kilwa huku kote CCM hawana Chao mwaka huu
 
Huko wanamtaka wamuone tu alivyotinduliwa na kutembea upande upande ila kule ni kijani tu.
Arusha na Moshi je Nireteeeeeeeniiiiiiiiiiiu Gwaaaaaaa..... nae vipi na kule kusini pia.
 
Usijidanganye,hali kitaa Ni ngumu, 2015 hali haikuwa ngumu kaa miaka ya 2020,kumbuka kikwete aliajiri walimu Kila mwaka zaidi ya 60 alfu, aliongeza mishahara Kila mwaka,sasa 2020 watu wanahasira sio Cha wasukuma Wala wachaga wote hali Ni ngumu...

Mpinzani wa Magufuli sio Lissu peke yake Bali Ni makundi mbali mbali ya jamii, wakulima, wafanyakazi,wafanyabiashara nk

Tumepofuka macho hata uhalisia hatutaki kuona, kama Magufuli angekuwa anatoka Manyara uchaguzi huu Lissu angeisumbua sana CCM. Lakini kwa kuwa Magufuli anatoka Usukumani, anayo natural influence ambayo imesambaa kuanzia Songwe, Katavi, Rukwa, Tabora, Shinyanga, Geita, Mwanza, Kagera, Mara na Simiyu. Ukweli mchungu.
 
Yaani wewe ndiyo Wakusini wakwanza mjinga pia sidhani kama kweli ww ni WA kusini,sijui upo kusini ipi ambayo kuna wajinga kama wewe...
Kuanzia Masasi,newala, Tandahimba,liwale na kilwa huku kote CCM hawana Chao mwaka huu
Wewe unasemea mitandaoni sisis tupo field. Kazi kwako MAGUFULI MITANO TENA. Tafuta sumu kabisa uje kunywa.
 
Yaani wewe ndiyo Wakusini wakwanza mjinga pia sidhani kama kweli ww ni WA kusini,sijui upo kusini ipi ambayo kuna wajinga kama wewe...
Kuanzia Masasi,newala, Tandahimba,liwale na kilwa huku kote CCM hawana Chao mwaka huu

Wakuu nifahamisheni: werevu ni watu kutoka mikoa gani? na mikoa gani mtoto wako akizaliwa anakuwa Mwerevu?
 
Yaani wewe ndiyo Wakusini wakwanza mjinga pia sidhani kama kweli ww ni WA kusini,sijui upo kusini ipi ambayo kuna wajinga kama wewe...
Kuanzia Masasi,newala, Tandahimba,liwale na kilwa huku kote CCM hawana Chao mwaka huu
Hawana chao ya mdomoni hiyo.utaona na utajua hujui,weka kumbukumbu ya huu uzi
 
Bado siku 11. Tutakimbiana hapa JF. Jifarijini tu
Wimbo wao wa kuanzia saa 6.00 usiku tarehe 28 utakuwa wa kuibiwa kura...watu watakuwa wakituma takwimu nyingi humu za kibaraka Lissu kudaiwa kuongoza..NEC wakija na takwimu halali zitakuwa zikipingwa na vibaraka na waliokata tamaa ya maisha..
 
Magufuli atashinda na anakwenda kuunda serikali ambayo wanachadema wachache watakuwa wabunge wa jamhuri huku kambi kuu ya upinzani tukimwachia bwana mdogo Ruyagwa mzee wa tunguli.
 
Weka ratiba.
Hiyo
IMG_20201017_080925_131.jpeg
 
Alikua pale Tanganyika Parkers watu wanaendelea na shughuli zao. Wale walioletwa na vi coaster ndiyo waliambiwa nileteeni Gwajima.

Kulazimisha kupendwa na asiye kupenda ni gharama sana.
Acha uongo wewe dada! Uko UK ya Kawe utayajuaje? Uwanja ulitapika siyo kama ilivyokuwa kwa Beberu Jeusi Lissu?
 
Back
Top Bottom