Uchaguzi 2020 NEC yatoa ratiba ya mwisho: Lissu atafungia Dar, Magufuli Dodoma

Uchaguzi 2020 NEC yatoa ratiba ya mwisho: Lissu atafungia Dar, Magufuli Dodoma

Kauli Kama hii ndiyo huwa inawanyima kura ...kuwadharau watu baadala ya kuwanyenyekea wapiga kura ..
Kuna kiongozi wao 2015 alisema upinzani hasa chadema isipochukua nchi anaacha siasa,leo bado yupo hai huko anakokona kusaka ubunge ili apate KUB. Hawa wapinzani wetu ni wa kuwadharau tu.
 
Haendi Kaskazini mkuu. Taarifa zinasema kuwa anafuata ripoti ya watu wa kipenyo na haendi Kaskazini yote kasoro Tanga wala haendi kusini yote.

Yani akitoka Tanga anaingia Dodoma ndani ndani huko hadi kwenye kufunga kampeni
Sio kweli, ataenda pwani, tanga, kilimanjaro, arusha, manyara na kumalizia dodoma
 
Akae hukohuko anatukera tuleteeni Lissu huyo Msukuma asikanyage huku anatisha raia hatumtaki hana mvuto wowote, sura mbaya, kauli mbaya, lughà mbaya na mtu mbaya sidhani hata Mungu anampenda kama anavyodai mwenyewe maana ni mwongo wa kupindukia.
He! Hii kali. Ni kweli huko watu wote ni waoga kiasi kwamba wanatishwa na sauti na sura ya mtu kama watoto wadogo?
 
Wewe usitudanganye. Tarehe 19 Magufuli atakuwa Pwani na tarehe 22 atakuwa Tanga. Huko Kilimanjaro hiyo tarehe umeitoa wapi?
Ni kweli tarehe 19/10/2020 atakuwa Pwani Bagamoyo akiwa njiani kuelekea Korogwe Tanga then Same na kuendelea Moshi, Hai, KIA User River, Arusha na kuendelea Karatu, Babati, Kondoa, Dodoma. Sisi wenye chama dume tunakueleza.
 
Wamekosea magufuli anatakiwa ufungie singida alafa lissu geita tuone nabii ambavyo akubaliki kwao
 
Lissu akishinda hata kwa asilimia 20 mimi wakusini nikatwe kichwa
 
Wewe usitudanganye. Tarehe 19 Magufuli atakuwa Pwani na tarehe 22 atakuwa Tanga. Huko Kilimanjaro hiyo tarehe umeitoa wapi?
Nyie watu ni wajinga mliopitiliza, ratiba ipo hivi; pwani, tanga, kilimanjaro, arusha, manyara(babati) na dodoma
Sijui ni nani huwa anawaambia ujinga na kuuamini
 
Wamekosea magufuli anatakiwa ufungie singida alafa lissu geita tuone nabii ambavyo akubaliki kwao
Magufuli ashaenda singida na lissu ashaenda geita hivyo hakuna jipya.
Wenzetu huwa mnafuta kumbukumbu mapema sana
 
Kinachofurahisha ni jinsi magufuli alivyokata pumzi uso umemjaa aibu
 
Magufuli ndio raisi wa mwisho kusaidiwa na dola maana wananchi wanaenda kuandaa katiba mpya
 
Tanzania ya 2015 ya watu kutetemeka imeshaisha 2020 Magufuli out
 
Back
Top Bottom