Uchaguzi 2020 NEC yatoa ratiba ya mwisho: Lissu atafungia Dar, Magufuli Dodoma

Uchaguzi 2020 NEC yatoa ratiba ya mwisho: Lissu atafungia Dar, Magufuli Dodoma

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ratiba ya mwisho ya kampeni za urais inaonyesha wagombea wanaochuana katika Uchaguzi Mkuu, Rais John Magufuli wa CCM atafunga kampeni zake Dodoma huku Tundu Lissu wa CHADEMA akihitimisha Dar es Salaam 27 Oktoba 2020.

Ratiba inaonyesha mgombea wa CCM, Rais John Magufuli ataendelea na kampeni tarehe 19 Oktoba 2020 atakuwa Bagamoyo-Pwani na Tanga. Ratiba hiyo inaonyesha Magufuli hatokwenda mikoa ya Kusini ya Lindi, Mtwara na Ruvuma.

Leo 17 Oktoba 2020 Lissu atakuwa Singida na Dodoma.
===================

Hivi Magufuli alishaenda Mikoa ya Manyara, Arusha na Kilimanjaro?
Rekebisha huu uzi wako. Magufuli hakuna hata anaemsogelea kwenye kampeni hizi. hiyo mingine ni misukule tu na watu wanajaa kuishangaaa. Usidanganyike ndugu.
 
Haendi Kaskazini mkuu. Taarifa zinasema kuwa anafuata ripoti ya watu wa kipenyo na haendi Kaskazini yote kasoro Tanga wala haendi kusini yote.

Yani akitoka Tanga anaingia Dodoma ndani ndani huko hadi kwenye kufunga kampeni
Siku ya jumatano usikimbie. Vijana mnaoshabikia ndoa ya jinsia moja mna tatizo la akili. akili zenu zimekaa kusikoeleweka.
 
Lissu anaweza kuzuiwa tena kufanya mikutano kwa wiki moja
 
Nawachekaga mnaosemaga swala la katiba mpya ,katiba inaweza kuwepo nzuri tu ila kanuni zitakazotungwa na bunge wewe haupo zitamchomoa yoyote kama isingekuwa hiyo kanuni angetiwa hatiani .
Katiba mpya sio kigezo cha maendeleo wala haki za watu kikubwa lilia tume mkurugenzi wake asichaguliwe na Rais vinginevyo mtajifajiri tu leo siku imeisha bado siku zinayoyoma tupiga kura mrudi tena hapa.
Katiba ndio kitaweka utaratibu we tume uweke na ivhaguliweje tume mbovu ni kwa sababu ya katiba haijaangalia hilo
 
Narudia tena, sio kwa kura full stop.
Sasa kwa matako yako ama. Sa mmeingia kwenye uchaguzi ili mlalamike? Ikulu ya dodoma mtaisikia tu nyie vibaraka imeisha hiyo,hutaki kunya.
 
Sasa kwa matako yako ama. Sa mmeingia kwenye uchaguzi ili mlalamike? Ikulu ya dodoma mtaisikia tu nyie vibaraka imeisha hiyo,hutaki kunya.

Ikulu y Dodoa ndio inakufanya unatapika makande yaliyochacha, je ingekuwa ni ya White House si ungefariki kabisa.
 
Ikulu y Dodoa ndio inakufanya unatapika makande yaliyochacha, je ingekuwa ni ya White House si ungefariki kabisa.
Sukari imekupanda mpaka unatetemeka kuandika unachapia, #RAIS NI MAGUFULI KAKA.
 
Naona umekata pumzi dogo, hapa ni kama unaanika nguo kavu.
Mzee Kikwete anasema Hana wasiwasi Rais Magufuli atashinda na Chama cha Mapinduzi kitashinda kitaendelea kuongoza Nchi hii! #sasa we vimba kwenye keyboard kuhisi Lissu atashinda kalagabaho, labda akuongezeeni idadi ya watoka nje bungeni.
 
Mzee Kikwete anasema Hana wasiwasi Rais Magufuli atashinda na Chama cha Mapinduzi kitashinda kitaendelea kuongoza Nchi hii! #sasa we vimba kwenye keyboard kuhisi lisu atashinda kalagabaho,labda akuongezeeni idadi ya watoka nje bungeni.

Jana Kikwete kapewa nyumba unategemea aseme nini zaidi ya alichosema? Hata Mimi nikijengewa nyumba kama ile ya JK, nitasema Magufuli atashinda na kuwa rais wa Africa Mashariki acha Tanzania tu. Kutokana na mikataba aliyoingia JK ndani ya nchi hii, yuko salama zaidi ccm ikishinda kuliko kinyume chake.

Kwenye hilo bunge kibogoyo, ni mbunge aliyekabidhi akili yake tu kwa Magufuli ndio anaweza kulifagilia. Kwa sasa hilo bunge ni kijiwe cha kulia hela za wananchi kisheria full stop.
 
Bado siku 11 tuwatoe watu wa Amsterdam ngebe
Huu mwaka CCM kupitia kile kijamaa kinaitwa Polepole sijui , mmeamua kuongea ukweli toka mioyoni kwa kukubali kuwa nyie hampo kwa ajili ya wananchi maskini. Kamwe hamjawahi kuwa. Zaidi ni kwamba mnastahili kuondoka madarani. Mmekula mmevimbiwa, hamna UTU. Hadharani mnawatweza walalahoi walipakodi mnazofuja!
 
Jana Kikwete kapewa nyumba unategemea aseme nini zaidi ya alichosema? Hata Mimi nikijengewa nyumba kama ile ya JK, nitasema Magufuli atashinda na kuwa rais wa Africa Mashariki acha Tanzania tu. Kutokana na mikataba aliyoingia JK ndani ya nchi hii, yuko salama zaidi ccm ikishinda kuliko kinyume chake.

Kwenye hilo bunge kibogoyo, ni mbunge aliyekabidhi akili yake tu kwa Magufuli ndio anaweza kulifagilia. Kwa sasa hilo bunge ni kijiwe cha kulia hela za wananchi kisheria full stop.
Sera mbadala hamna,mapungufu ni mengi ila bado kujipa imani lisu atashinda ni kujitekenya na kucheka,uwezo wa kumtoa hana,uwezo alionao labda ni hayo matusi anayomtukana na wananchi wakashangilia sawa ila Lisu kushika dola bado hata iweje haitakuja hadi atakufa.
 
Sera mbadala zipo, Ila masikio yako na hisia zako zimejikita zaidi kwenye mambo yanayokuumiza ww na mgombea wako. Kwa taarifa yako hata Membe na Lipumba wanasema watashinda, hiyo ndio maana ya ushindani. Kuna matusi na ukweli unaoumiza, jitahidi kutenganisha haya mambo mawili.

Nchi hii ina miaka 60 na raia 59m+, mpaka sasa waliokuwa marais ni watano tu, hivyo tukitazama hiyo ratio ya miaka na watu, kuwa rais ni bahati zaidi kuliko uwezo. Hivyo iwapo atashindwa kihalali hakuna mwenye tatizo na hilo, maana hiyo ni kanuni sahihi ya ushindani. Suala la yeye kuwa rais halitegemei matamanio yako, bali kura za wananchi.
 
Kwa Afrika kushinda kura na kutangazwa ni mambo mawili tofauti. Sina shaka na ushindi wa Lisu kwa upande wa kura. Labda mjadala uwe kwenye kutangazwa.
Hata kwa kura Lissu hawezi kushinda tatizo katika kampeni zake ameshindwa kuwapa watanzania kujiamini na kuondoa mashaka kuhusu usalama wa nchi na raslimali zao akitawala. Muda mwingi anautumia kulalamikia haki na uhuru.
 
Back
Top Bottom