Baada ya watu wengi kuandika yao katika mitandao mbalimbali,sasa leo Baraza la Mitahani Tanzania latoa tamko rasmi.
Akinukuliwa Naibu waziri wa elimu MH. Phllip Mulugo alisema "Tumefanya kila jitihada kuhakikisha kwamba tunatangaza matokeo haya hivi leo na kila kitu kinaenda kama tulivyo panga, hivyo basi tunatangaza rasmi kwamba matokeo hayo yanatangazwa leo".