NECTA Kutangaza Matokeo Leo ya kidato cha Nne Leo.

NECTA Kutangaza Matokeo Leo ya kidato cha Nne Leo.

Status
Not open for further replies.
Yamesha eksipaya, hatuna mzuka nayo tena
 
Baada ya watu wengi kuandika yao katika mitandao mbalimbali,sasa leo Baraza la Mitahani Tanzania latoa tamko rasmi.

Akinukuliwa Naibu waziri wa elimu MH. Phllip Mulugo alisema "Tumefanya kila jitihada kuhakikisha kwamba tunatangaza matokeo haya hivi leo na kila kitu kinaenda kama tulivyo panga, hivyo basi tunatangaza rasmi kwamba matokeo hayo yanatangazwa leo".
 
mmeanza tena kulikwa kimya hapa wikiendi, nani kakwambia Naibu waziri wa elimu anahusika na NECTA matokeo yake yanayomuhusu alishatangaza yaani ya form 2
 
Yameshatolewa, ila ndo tunayasambaza. Jina lako nani? Index No. yako?
 
Dah, dogo sasa ndo nini hiki? Ungeenda kucomment kwenye nyuzi zingine naziona kibao hapo chini, kuna haja gani ya kuanzisha uzi kama huu usio na kichwa wala tumbo!‎؟‎ Fk
 
Wanatuzingua tu hawa wengne matokeo ndo tuishi bila matokeo.ila wao wanakula vizur tu na watoto wao.kama unatudanganya ....!
 
WE dogo ------ kweli,sasa wana jf wanahusika vp na 4 result,tatizo bado unanuka maziwa ndo maana unavtisho vya kitoto!unahangaikia matekeo na wakati jinsi unavyoonekana una dv 4!pumbavu zako
 
jtoe kwanza anae kuomba ubak humu ni nani?
 
Sasa ukijitoa inakuwaje? huku mawazo yamekuzidi uwezo, nenda kwa wenzako facebook
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom