NECTA yatangaza matokeo ya Darasa la Saba 2019. Ufaulu waongezeka kwa asilimia 3.78

Elimu ya Tanzania inauliwa na siasa. Watoto wanafaulishwa ili shule zifanye biashara. Wanafaulishwa ili mradi waende mbele
Sema elimu ya Tanzania inauliwa na pesa siyo siasa mkuu
 
Tulizoea ufaulu wa watoto wawili au watano kwenye shule kwenda sekondari le mnatuambia asilimia hizo??? Je wasiojua kusoma na kuandika ni wangapi na mtawajuaje ikiwa tumeambiwa mpaka F. 5 wapo wasiojua kusoma na kuandika? Sawa hiyo? haaaaata.
Huwa hawasemi wasiojua kusoma na kuandika na huwa wapo nadhani walimu wapo humu waseme kwa ukweli wa Mungu wao bila kutudanganya na Tena huwa wanaandikiwa namba tu then mengne waendelee wao ili mrad waonekane wamefanya mtihani na wanawekwa katika kundi la waliofeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…