NECTA yatangaza matokeo ya Darasa la Saba 2019. Ufaulu waongezeka kwa asilimia 3.78

Nina furaha mnoo leo, yaani sijui nisemeje hakika Mungu ni mwema hakuacha kusikiliza kilio changu, mwanang kafaulu vzr pamoja na changamoto nyingi mnoo nilizopitia juu yake,yaani nimejikuta nalia hakika Mungu hajawahi kutosikiliza maombi ya watoto wake
 
Ana ufaulu gani, miaka ya hivi karibuni kufaulu mtoto darasa la 7 si jambo la ajabu anaweza asiende shuls mwaka mzima na akafaulu.
Tujuze ufaulu wake kiujumla na pole kwa changamoto
Mazingira ya mwanang na matokeo aliyopata Mamaake namshukuru Mungu n mengi amepitia mnooo ikiwepo na ugonjwa na mengine mengi mnoooo
 
Ana ufaulu gani, miaka ya hivi karibuni kufaulu mtoto darasa la 7 si jambo la ajabu anaweza asiende shuls mwaka mzima na akafaulu.
Tujuze ufaulu wake kiujumla na pole kwa changamoto
Hujui utamu wa mtoto mkuu,kufaulu ni kufaulu tu haijalishi wamefaulu wengi au wachache...
 
Usisahau kumtolea Mungu sadaka ya shukrani, sana sana kuwasaidia wasiojiweza. Wape chochote kadri Roho wa Mungu atakavyokuongoza ila kubwa zaidi ni kuishi maisha matakatifu.
 
Me nataka kujua tu, ivi shule za serikali wanachukua mwisho wastani upi
 
Naona necta wameyafungulia sasa bhandugu hapa sielewi kitu nimeona ndugu yangu masomo 3 kapata C mawili kapata D na ana wastani wa C hapa kafaulu au ndo aanze kulima mpunga?
 
Kufaulu la 7 siku hizi ni deal?maana naona wanaomaliza karibu wote ninaowafahamu wanafaulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…