cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Yaani ni duh!!!Wagwan kemebos🤸♂️
Imeshuka sana kwa ndani ya top 10.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani ni duh!!!Wagwan kemebos🤸♂️
kayumba yupi katengeneza ndege?We need to see some invention from those schools that can impact the globe.
Hivi Kuna mdada yeyote st Francis akafanya wonders kweli jamani, mie naweza nikafundisha akawa innovative ama akafaulu ili nikazidi kuaminika na wateja wangu wazidi kuniletea pesa. Jamani pesa inatafutwa kwa namna yoyote Ile hata kuua unaua sembuse ku maintaining best performance kweli nizidi kuwa na wateja lukuki yaani wawe wananigombania, yaani ni biashara as usual, otherwise show us st Francis wamefanya nini la ajabu la ku reflect matokeo yake, badala yake tunaona kayumba waki make ndege ama helicopter
Atakuwa mfuska kama baba yakeMtoto wangu kagonga A zote..
😅😅😅😅 Hawezi kuwa kama baba yake, maana mie sikupata A zote..Atakuwa mfuska kama baba yake
Ulisoma miaka gani? Mke wako ana Elimu gani au ukoo wao kukoje? Akili zinatoka Kwa Wanawake😅😅😅😅 Hawezi kuwa kama baba yake, maana mie sikupata A zote..
Japaa anajiteteaNa St. Francis ilikuwa na waalimu wachache na mazingira ya kujifunzia magumu ?
Mie sina mke, nilizalisha huko mtaani.. alipojifungua nikabeba mtoto wangu. Mie nimemaliza chuo 2009 jiongeze hapo 😅😅Ulisoma miaka gani? Mke wako ana Elimu gani au ukoo wao kukoje? Akili zinatoka Kwa Wanawake
Sina hakika na takwimu zakeYaani ni duh!!!
Imeshuka sana kwa ndani ya top 10.
Hapa huwa tunapigwa hakyanani. Iundwe tume
Kukaririshwa tu hamna kitu kichwani! Hizo GPA mbona wakienda Chuo hatuzioni?We need to see some invention from those schools that can impact the globe.
Hivi Kuna mdada yeyote st Francis akafanya wonders kweli jamani, mie naweza nikafundisha akawa innovative ama akafaulu ili nikazidi kuaminika na wateja wangu wazidi kuniletea pesa. Jamani pesa inatafutwa kwa namna yoyote Ile hata kuua unaua sembuse ku maintaining best performance kweli nizidi kuwa na wateja lukuki yaani wawe wananigombania, yaani ni biashara as usual, otherwise show us st Francis wamefanya nini la ajabu la ku reflect matokeo yake, badala yake tunaona kayumba waki make ndege ama helicopter
Hizo sio taarifa rasmi za NECTAHizi takwimu zi walishafuta huu utaratibu wa kutaja shule ya kwanza sijui mkoa wa kwanza kwamba zitabaki kama taarifa za ndani ama wamebadilika tena?
Hivi ada pale ni sh ngapi? Hiyo shule ya mapadri ni nyokotengeru boys' namba 3, i am proud.
the best in arusha.
inapanda kila mwaka, mimi niliiacha kwenye milioni 3 na kitu.Hivi ada pale ni sh ngapi? Hiyo shule ya mapadri ni nyoko
Noma sana hiyo shule, waanzishe na Advance sasainapanda kila mwaka, mimi niliiacha kwenye milioni 3 na kitu.
kuingia ndo kazi kuliko ada
father yule alisema hataki, yeye amejikita kwenye malezi na o level ndo sehemu kuu ya kufanya maleziNoma sana hiyo shule, waanzishe na Advance sasa