We need to see some invention from those schools that can impact the globe.
Hivi Kuna mdada yeyote st Francis akafanya wonders kweli jamani, mie naweza nikafundisha akawa innovative ama akafaulu ili nikazidi kuaminika na wateja wangu wazidi kuniletea pesa. Jamani pesa inatafutwa kwa namna yoyote Ile hata kuua unaua sembuse ku maintaining best performance kweli nizidi kuwa na wateja lukuki yaani wawe wananigombania, yaani ni biashara as usual, otherwise show us st Francis wamefanya nini la ajabu la ku reflect matokeo yake, badala yake tunaona kayumba waki make ndege ama helicopter