NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne 2024. Yatazame hapa!
Matokeo ya IV 2024[ 1-7 zote]
Screenshot_20250123_193706_Chrome.jpg

Matokeo ya form II 2024 [ 1-7 zote]
 
Alikidanganya nani kwamba Ajira hakuna?

Zipo sana ajira kwa mtazamo wako wa kipumbavu, sisi tunaangalia ajira based on:

1. Output vyuoni.
2. Output secondary schools
3. Statistics za ajira kwa mwaka.

Sasa kama wewe unaangalia ajira based on other facts then kwa scale yako ya kipumbavu huwezi nielewa!

USA wenyewe wanalalamika un employment
 
Zipo sana ajira kwa mtazamo wako wa kipumbavu, sisi tunaangalia ajira based on:

1. Output vyuoni.
2. Output secondary schools
3. Statistics za ajira kwa mwaka.

Sasa kama wewe unaangalia ajira based on other facts then kwa scale yako ya kipumbavu huwezi nielewa!

USA wenyewe wanalalamika un employment
Ajira zipo za kutosha ila zile mnazotaka nyie punguani hazitoshi
 
Miaka mingi ya nyuma hawakuwa wakipata darasa zima 1-7 na huu ni mfano tu kumekuwa na rundo la 1-7 yamenishitua matokeo ya karibuni ya II,IV na VI[ napo 1-3 imekuwa kawaida hivi karibuni ]
Walimu walikuwa wachache na mazingira ya kujifunzia ni magumu
 
nilikuwa nashangaa sana kuona watu wana ule ushabiki na shule zao

sasa hivi nimekaa miaka kadhaa baada ya kumaliza, naona shule yangu imekuwa ya 3 nafurahi sana sijui ni hali gani hii
 
Hizi takwimu zi walishafuta huu utaratibu wa kutaja shule ya kwanza sijui mkoa wa kwanza kwamba zitabaki kama taarifa za ndani ama wamebadilika tena?
wanaeleweka hao sasa! kila kiongozi akija anapuyanga na lake tu
 
Back
Top Bottom