Hiyo list umeitoa wapi,wizara imeshaacha hayo mambo,ingawa nimeona shule nyingi sana zina one tupu,sasa hv naona ushindani ni point ya division,maana hao cannosa na st francis ni 1.7 tupu.
 
Toka aingie huyo Yakhe kwenye Baraza la mtihani naona ufaulu umepanda ghafra na unazidi kupaa mwaka hadi mwaka, tupeni Siri ya utendaji wake hapo barazani.
 
Toka aingie huyo Yakhe kwenye Baraza la mtihani naona ufaulu umepanda ghafra na unazidi kupaa mwaka hadi mwaka, tupeni Siri ya utendaji wake hapo barazani.
Sio form 4 tu ni hadi six.

Kazi nyingi inabidi uwe na Diploma au degree

Kuna maeneo yalikuwa yanafeli sana, watu wa hayo maeneo ilikuwa ngumu kufika vyuoni na kupata sifa za ajira kwenye system
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Mie ninazo, baba yake nimeanza kufanya PhD ya Information Security, unasemaje Sina akili
Sasa kama hukuwa kipanga na yeye ni kipanga huoni wewe ni kilaza kwake?

Hizo ni akili za upande wa mwanamke na ndivyo ilivyo 60% vs 40%
 
1. Lilian Makoi - mwanzilishi na mkurugenzi wa mipango app, programu ya usimamizi wa matumizi ya pesa na huduma za fedha za kwenye simu(e wallet)

Alipewa tuzo ya mwanamke mbunifu bora kwenye fani ya teknolojia 2016 na world economic forum.

Kasoma St. Mary Goret Secondary.

2. Prisca Magori -mwanzilishi mwenza na mkurugenzi wa SMART EFD, programu ya kutuma risiti/risiti ya ankara

Alitajwa kwenye jarida la forbes 30 under 30

Kasoma St. Joseph Millenium Secondary.

3. Joseph Paul - mwanzilishi mwenza na mkurugenzi wa dawa mkononi, kampuni ya usambazaji wa madawa

Kasoma Feza Boys.

4. David Denis - mwanzilishi na mkurugenzi wa cutoff recycle, kampuni ya kuchakata taka. ametengeneza mbolea itokanayo na nywele za binadamu(ana hatimiliki ya kuitengeneza afrika nzima)

Kasoma St Jude.
 
Weka na list ya waliosoma kayumba pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…