NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2017. Ufaulu waongezeka kwa 7.22%

NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2017. Ufaulu waongezeka kwa 7.22%


kumbe ndo umemaliza na una 1 basi pm nakuja tuyajenge niachane na pm za wakubwa kina Miss Natafuta nije kwa watt wabichi Kama mm

Kwa matokeo haya huyu mtoto atakuwa bikra aisee!
ea327ef2ddef4ee2f5072f1320817509.jpg
 
Wanabodi wasalam nilikua naomba link ya kupata matokeo kidato cha nne.

Ahsante
 
S0387/089 karagwe secondary, naomb mniangalizie huyu wadau ameshkwa na tumbo la kuhara ghafla tangu mchana
 
maprofes wasomi lkn hawaangali itifaki kwa watanzani , badala ya kuweka majina wanaweka namba za watahiniwa ,,
 
Wangeweka mfumo wa majina hii ya kuweka namba kwenye matokeo siipendi
Hili ni swala la kukomalia ili necta walibadilishe. Hii kitu ilianza pale mtoto wa mkubwa Fulani alipomaliza feza girls akapata div iv peke yake darasa zima walifaulu zaidi ikaandikwa sana kwn media, kuanzia hapo mambo yakaharibika. Kwa kifupi huu mtindo unawafanya wale watoto tunaosomesha kutudanganya sana! Mimi nshawah kudanganywa na dogo mmoja niliyekuwa namsomesha kuwa ana div ii kumbe ana iv
 
Back
Top Bottom