NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne na cha pili 2020

NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne na cha pili 2020

Huu mwaka kiwango cha ufaulu kitaongezeka kama ilivyo kawaida ya Mianasiasa yetu ili ikipanda majukwaani ipate cha kujisifia..

Ila kiuhalisia kiwango cha uelewa Kwa Wanafunzi wetu siyo kizuri.
Syllabus ya sasa ngumu mkuu
 
Wee jamaa taarifa yako sidhani kama ni ya kweli maana Uzi wenyew umeandika kama unakimbizwa
NACTE na NECTA ni sawa?
 
Muda wowote kuanzia sasa matokeo tajwa hapo juu yatawekwa hewani.

Kwa sasa katibu mkuu wa baraza anaendelea kutoa takwimu mbalimbali za matokeo.




Shule bora kitaifa:
Peaceland Secondary School (Mwanza)

Mikoa 3 iliyofanya vizuri:
Dar es Salaam
Lindi
Arusha


Link ya matokeo kamili[emoji116]

 
They must regulate result maana wanafunzi wa 2020 wamepatwa na dhahma sana hasa COVID 19 kwa likizo ya ajabu lazima itakuwa ime wa dis array
 
Back
Top Bottom