Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,805
- 17,850
Link ya matokeo kamili[emoji1540]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii link mbona haikuweka ki mikoa...?
Daah bro mchokozi sanaNaiona chato katika ufaulu mkubwa sana
Msiniite nabii
Muda wowote kuanzia sasa matokeo tajwa hapo juu yatawekwa hewani.
Kwa sasa katibu mkuu wa baraza anaendelea kutoa takwimu mbalimbali za matokeo.
Shule bora kitaifa:
Peaceland Secondary School (Mwanza)
Mikoa 3 iliyofanya vizuri:
Dar es Salaam
Lindi
Arusha
Link ya matokeo kamili[emoji116]
Hata Kama mtu alikuwa akiimba "amechukua ameweka waah!" Lazima atulie maana sahivi anawekwa yeye hiyo waah..🤣🤣Jamani matokeo mbona yametoka haraka sana, mmmmh
Wahusika saivi matumbo chwaaaaaaaaah lol.
Yaani boya sana huyuuuuuweka link ya NECTA tusisumbuke......
darasa la nne mkuu, link
Matusi ya nini? Huna la kujibu mpaka utukane? Unamlenga nani sijajuaYaani boya sana huyuuuuu
Muda wowote kuanzia sasa matokeo tajwa hapo juu yatawekwa hewani.
Kwa sasa katibu mkuu wa baraza anaendelea kutoa takwimu mbalimbali za matokeo.
Shule bora kitaifa:
Peaceland Secondary School (Mwanza)
Mikoa 3 iliyofanya vizuri:
Dar es Salaam
Lindi
Arusha
Link ya matokeo kamili[emoji116]
Naiona chato katika ufaulu mkubwa sana
Msiniite nabii
EXAMINATION CENTRE RANKING |
EXAMINATION CENTRE REGION | GEITA |
TOTAL PASSED CANDIDATES | 233 |
EXAMINATION CENTRE GPA | 3.6686 |
CENTRE CATEGORY | CENTRE WITH 40 CANDIDATES OR MORE |
CENTRE POSITION IN ITS CATEGORY(REGIONWISE) | 30/103 |
CENTRE POSITION IN ITS CATEGORY(NATIONWISE) | 1209/3956 |
Yaaan we acha tyuuh, watoto sahiv mambo ya movie hayapo tena kutwa kuhangaika na net kutazama tokeo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata Kama mtu alikuwa akiimba "amechukua ameweka waah!" Lazima atulie maana sahivi anawekwa yeye hiyo waah..[emoji1787][emoji1787]
Haya sasaa, Hivi FM2 tayari?
Kuna nanga moja hivi naona ikitamia kabisaa, maana si kwa upuuzi ule...