NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne na cha pili 2020

Sidhani kama kuna ukweli hapa๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† computer inasaisha ya darasa la saba tu huko mbele haiwezi na ikiweza itatoa ufaulu usio sahihi๐Ÿ˜
Uko sahihi! hawezekani
 
Hongereni sana mliofaulu ,pia pongezi kwa Canossa,Mzumbe na Ilboru.
 
Mkuu saidia kama unauelewa kwenda form 5
From form 4:
Cut off point ni ngapi?
Au matokeo yaweje?
Uhakika ni daraja la kwanza hadi la tatu la alama 22. Hapo nazungumzia kidato cha tano kwenye Shule za Serikali. Kwenye shule nyinginezo ni hadi daraja la nne la alama 28. Huo ni uelewa wangu Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ