Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
G.P.A ikiwa kubwa rank inashuka...compare point 7 ni division 1 ila point 18 ni division 2Kama ni hivi basi Fedha ipo chini
EasyMaswali nengine ya kijinga mfano A inaanzia 81
Mtoto wa Feza kapata A ya 95 wa Marian kapata A ya 92
Wa Anwarite kapata A ya 90
Ukiambiwa wa kwanza in yupi wa pili ni yupi na wa tatu in yupi hujui?
Nacte wanapanga kwa Grade point mwenye ndogo ndo wa juu mf Kemebos ana GPA 1.085 kaongza, St francis 1.1, Feza ana 1.31, Anwarite 1.34Nimefanya quick analysis ya kuangalia idadi ya division 1 za single digit ( points 7,8,9 ) .... Feza boys' zipo 42 Kati ya wanafunzi 62 ,, Anwarite zipo 39 Kati ya wanafunzi 76
See , 42/62 = 67.7%
. 39/76 = 51.3%
Tupo sawa ?
Hlf Kemebos ya kwanza wanafunzi wote 63 single digit 1-7 wapo 52, 1-8 wapo 10 na 1-9 ipo mojaNimefanya quick analysis ya kuangalia idadi ya division 1 za single digit ( points 7,8,9 ) .... Feza boys' zipo 42 Kati ya wanafunzi 62 ,, Anwarite zipo 39 Kati ya wanafunzi 76
See , 42/62 = 67.7%
. 39/76 = 51.3%
Tupo sawa ?
BARAZA LA MITIHANI NA TAMISEMI WAFAFANUA KUHUSU UPANGAJI WA SHULE BORA KUTOKANA SWALI LA MALISA NA WAPAMBE WAKEWakuu Sina la kusema Sana nitaatach maswal ya MALISA ambayo amewauliza NECTA
Kama haitofunguka
Anauliza shule ya SEKONDARI ANWARITE ina watoto 76 wote wamepata daraja la 1 na imekuwa ya 11 kitaifa
Lakn sule ya SEKONDARI FEZA WAVULANA ina watoto 62 lakn 59 wamepata daraja la 1 na 2 daraja la 2 na 1 daraja la 3 imekuwa ya 7 kitaifa
Sasa upangaji huu umetumia vigezo gani
Attachment ipo chiniView attachment 2092625
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Nini inasikitisha mkuu?Inasikitisha sana...
Mkuu unaelewa ata namna hizo GPA zinavopatikana? Au we umekalili tu kuwa 1.4 ni kubwa kuliko 1.3Aelewenini ktk huu utopolo, yaani Anwarite 1.3409 na Feza 1.3107 number ipi ni kubwa hapo ambazo unaziita GPA? mbn hamuoni ht aibu?
Lilikuwa swali la kitoto sana, kulikuwa hakuna ata haja ya taasisi kubwa kama NACTE kumjibu malisa, ila kwakuwa Tanzania tuna watu nyumbu wengi wakaona bora wamjibu tuBARAZA LA MITIHANI NA TAMISEMI WAFAFANUA KUHUSU UPANGAJI WA SHULE BORA KUTOKANA SWALI LA MALISA NA WAPAMBE WAKE
View attachment 2093015
Hapana kwasababu wenye div 1 wapo wengi zaidi ya hao na hawa wengine wana hadi div 3 kwelly (feza utopolo)Kama wastani unazingatiwa inawezekana ikawa hivyo
Maswali nengine ya kijinga mfano A inaanzia 81
Mtoto wa Feza kapata A ya 95 wa Marian kapata A ya 92
Wa Anwarite kapata A ya 90
Ukiambiwa wa kwanza in yupi wa pili ni yupi na wa tatu in yupi hujui?
A's hizo hazifanani kwa marks !!!/jibu rahisi tu hata wote wawe division one
swali la kijinga hilo alilouliza wala halihitaji jibu la NECTA angeuliza hata. Mwalimu wa chekechea angemjibu