NECTA yatoa ufafanuzi kuhusu mjadala wa ufaulu kati ya shule ya Wasichana ya Anwarite na ya Wavulana ya Feza

NECTA yatoa ufafanuzi kuhusu mjadala wa ufaulu kati ya shule ya Wasichana ya Anwarite na ya Wavulana ya Feza

Maswali nengine ya kijinga mfano A inaanzia 81

Mtoto wa Feza kapata A ya 95 wa Marian kapata A ya 92

Wa Anwarite kapata A ya 90

Ukiambiwa wa kwanza in yupi wa pili ni yupi na wa tatu in yupi hujui?
Easy
 
Nimefanya quick analysis ya kuangalia idadi ya division 1 za single digit ( points 7,8,9 ) .... Feza boys' zipo 42 Kati ya wanafunzi 62 ,, Anwarite zipo 39 Kati ya wanafunzi 76

See , 42/62 = 67.7%
. 39/76 = 51.3%

Tupo sawa ?
Nacte wanapanga kwa Grade point mwenye ndogo ndo wa juu mf Kemebos ana GPA 1.085 kaongza, St francis 1.1, Feza ana 1.31, Anwarite 1.34

Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
 
Nimefanya quick analysis ya kuangalia idadi ya division 1 za single digit ( points 7,8,9 ) .... Feza boys' zipo 42 Kati ya wanafunzi 62 ,, Anwarite zipo 39 Kati ya wanafunzi 76

See , 42/62 = 67.7%
. 39/76 = 51.3%

Tupo sawa ?
Hlf Kemebos ya kwanza wanafunzi wote 63 single digit 1-7 wapo 52, 1-8 wapo 10 na 1-9 ipo moja

Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu Sina la kusema Sana nitaatach maswal ya MALISA ambayo amewauliza NECTA

Kama haitofunguka

Anauliza shule ya SEKONDARI ANWARITE ina watoto 76 wote wamepata daraja la 1 na imekuwa ya 11 kitaifa

Lakn sule ya SEKONDARI FEZA WAVULANA ina watoto 62 lakn 59 wamepata daraja la 1 na 2 daraja la 2 na 1 daraja la 3 imekuwa ya 7 kitaifa

Sasa upangaji huu umetumia vigezo gani

Attachment ipo chiniView attachment 2092625

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
BARAZA LA MITIHANI NA TAMISEMI WAFAFANUA KUHUSU UPANGAJI WA SHULE BORA KUTOKANA SWALI LA MALISA NA WAPAMBE WAKE

FB_IMG_1642956100591.jpg
 
Malissa kumbe nae hamnazo? Hajui kua mtu anaweza apate div 1 akazidiwa na mwenye 2 in-terms of GPA?
 
Tatizo anatetea jamii ya kwao wala hana power yeyote swali la kijinga kujikuta anajua sana kila atakacho yeye kifanyie yupo na mwezi anaitwa ile mushi sijui wote ni wa kanda ile kujifanya wao ndio kila kitu
 
Tanzania Ya Viwanda Kupitia Vyerehani Vinne
 
Aelewenini ktk huu utopolo, yaani Anwarite 1.3409 na Feza 1.3107 number ipi ni kubwa hapo ambazo unaziita GPA? mbn hamuoni ht aibu?
Mkuu unaelewa ata namna hizo GPA zinavopatikana? Au we umekalili tu kuwa 1.4 ni kubwa kuliko 1.3
 
BARAZA LA MITIHANI NA TAMISEMI WAFAFANUA KUHUSU UPANGAJI WA SHULE BORA KUTOKANA SWALI LA MALISA NA WAPAMBE WAKE

View attachment 2093015
Lilikuwa swali la kitoto sana, kulikuwa hakuna ata haja ya taasisi kubwa kama NACTE kumjibu malisa, ila kwakuwa Tanzania tuna watu nyumbu wengi wakaona bora wamjibu tu

Utajua tuna watu wa namna gani baada ya kuona watu wengi walivomuunga mkono Kwa kukurupuka hadi humu tunapoona ni home of great thinker Kumbe napo kuna great Mbatata

Wale wote wenye chuki na shule za private zinavofanya vizuri na kusingizia issue za kuiba mitihani ndio walikuwa pamoja na malisa, waache kujifariji na visababu uchwara wapeleke watoto katika shule bora
 
Daaah,nimeshangaa sana mshikaji kuuliza swali hili,...halafu bado amekomaa,watu wamshtue anajishushia heshima
Maswali nengine ya kijinga mfano A inaanzia 81

Mtoto wa Feza kapata A ya 95 wa Marian kapata A ya 92

Wa Anwarite kapata A ya 90

Ukiambiwa wa kwanza in yupi wa pili ni yupi na wa tatu in yupi hujui?

A's hizo hazifanani kwa marks !!!/jibu rahisi tu hata wote wawe division one

swali la kijinga hilo alilouliza wala halihitaji jibu la NECTA angeuliza hata. Mwalimu wa chekechea angemjibu
 
Mambo ya watoto wa masikini ndio vipanga yalishapitwa na wakati
Sasa kama unataka mtoto awe na akili ni kumpeleka shule bora sio hizo njaa kali za serikali
Hata ningekuwa mimi na mtoto kapasi kwenda za serikali simpeleki mtoto akale msosi mbovu na malazi mabovu eti sababu ni shule ya vipaji
Vipaji viko wapi sasa mbona zinapigwa bao na shule za mnazoita kishua sijui watoto mayai
 
Back
Top Bottom