Neema Kipanya: Masoud Kipanya ana Watoto 15 na Wake 4

Kuwa na watoto wengi Wala sio urijali, uanaume wako unatakiwa uonekane kwenye malezi na matunzo ya mtoto, anapata hiyo jeuri kwa sababu pesa anayo ya kutosha
 
Mji gani?
Au mnajiona jamiiforum ni ya mji wenu?
Hujui kabisa kwamba hii platform ni kwa ajili ya dunia hii?

Kwa taarifa yako ukitaka kufanikiwa ama kuwa na aina flani ya maisha inategemea na sehemu ulipo.
Mpka sasa hapo ulipo hustahili hata kupata mtoto. Oa mke au olewa kisha kila mmoja akate mrija wa mbegu..

Maana hata huyo mmoja bado mtaona anawamalizia pesa zenu..
 
kafanya sawa lakini maua hawapewi wanaume wa kiafrika
 
Kongole kwake [emoji7][emoji106][emoji2956][emoji2956][emoji2956]

Mtu anaweza kuwatunza na kuwasimamia kwanini asiongeze idadi ya raia wa Tanzania ?!!!

Taifa linahitaji nguvu kazi kubwa.......

#SiempreJMT[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…