NEEMA KUU: Bwawa la Nyerere kuzalisha umeme wenye thamani sawa na 50% ya makusanyo ya TRA nchi nzima, (Trillion 12 kwa mwaka)

NEEMA KUU: Bwawa la Nyerere kuzalisha umeme wenye thamani sawa na 50% ya makusanyo ya TRA nchi nzima, (Trillion 12 kwa mwaka)

Hesabu zako pia inabidi uweke na OPEX, ambapo kwa uniti moja ya umeme unaozalishwa kwa kutumia maji inagharimu shilingi 36 hadi shilingi 50...
Katika "topline" pia kuna masuala ya "Internal Rate of Return (IRR), payback period, & CAPEX) kabla ya kuanza kupiga hesabu za faida/mapato ya mabilioni katika "bottomline" za mwaka wa kwanza wa uendeshaji wa mradi.
 
Wewe unayeshabikia haya matakwimu nadhani utakuwa ni mgeni wa hawa ccm.

Kumbuka jinsi walivyo ipamba gesi ya Mtwara mpaka wakasema kwa wingi wa gesi ile mkoa wa Mtwara utakuwa kama Dubai.

Wasema kuwa Tanzania sasa tatizo la umeme basi litabakia historia.

Leo hii kiko wapi mzee?
Nakuhakikishia kabisa kuwa hata hilo bwawa litakuja na litatuwacha kama taifa kwenye giza kama kawa.
Hizo takwimu ni zangu mimi, nisizishabikie kwa nini?
 
Kuna sehemu umeona pameandikwa 2100mega watts hours au wamesema tu 2100mega watt
Shule ndio tatizo ndugu yangu, tafuta elimu ili ujadili vizuri. Nimekueleza kwamba 2100 Megawatts ni kiwango cha power (rate ya ufanyaji kazi), na nimekueleza namna metering system inavyofanyablazi kwamba unitu moja ni Kilo watt hour, na nimekupa breakdown ya namna 2100megawatts zikizalishwa kwa muda wa mwaka mmoja zinatoka unit za Trillion 12 kwa mwaka husika.., sasa ulitaka nani aandike Megawatt hour wakati kwenye bwawa wanazungumiza power tu na sio unit zitokanazona power husika?
 
Swali dogo kwako engineer, hizo megawatt 2100 zinazalishwa kwa muda gani!?
 
Shule ndio tatizo ndugu yangu, tafuta elimu ili ujadili vizuri. Nimekueleza kwamba 2100 Megawatts ni kiwango cha power (rate ya ufanyaji kazi), na nimekueleza namna metering system inavyofanyablazi kwamba unitu moja ni Kilo watt hour, na nimekupa breakdown ya namna 2100megawatts zikizalishwa kwa muda wa mwaka mmoja zinatoka unit za Trillion 12 kwa mwaka husika.., sasa ulitaka nani aandike Megawatt hour wakati kwenye bwawa wanazungumiza power tu na sio unit zitokanazona power husika?
Tutaendelea kuwatoa wizarani hadi mfagizi aliye kwenye hii chain yenu
 
Hapo hujatoa production cost na transport cost .Bei ya Unit 1 ni 357 sio 600,Ni wizi tuu
 
Sasa cha ajabu, huo umeme utauzwa nje, na bado watoto kule kondoa wataendelea kukalia vumbi darasani kwa ukosefu wa fedha za kununulia madawati, huku kesi za ICSD dhidi ya Tanesco wanazojishtaki wenyewe zikiendelea kupamba moto.
kuna muda mambo ya serikali hua yanasikitisha sana...
 
Matokeo yake kwa hii thread kina February na Mandondo tushawaondoa kwenye wizara
Watakuja wengine of the same status !!
Uzalendo kushney !
Tupo kwenye kipindi kigumu kama Taifa,
Almost kila mtu anafikiria zaidi upigaji kuliko Taifa lake !!
 
Hospitalini pia mambo ndivyo sivyo waja wazito kazi wanayo ! Rejea yaliyotokea Kabuku Handeni na Kahama tena juzi juzi !
Tunaunda Tume ngoja tuone !!
Ndiyo maana wazungu wanasema hata wakituhamishia ulaya sisi wote na kutuachia kila kitu kule halafu wao wakaja huku, bado tutakuwa waomba misaada
 
Namaanisha megawatt 2100 inazalishwa kwa saa, siku ama mwaka!?
2100MW ni rate ya uzalishaji, (power), na sio kiwango cha umeme kilichozalishwa (Energy). Hivyo huwezi kuuliza umezalishwa kwa muda gani wakati hakuna kilichozalishwa, kinachozalishwa ni ‘Energy’ ya umeme, na hicho ndicho unachoweza kuuliza kimezalishwa kwa muda gani. Na ‘Energy’ inakuwa measured kwa (Power rate x Time) , Mfano 2100Mw Second, 2100Mw Hour, 2100Mw day, nk. In which case muda unajieleza wenyewe.., kwamba ni rate hiyo ya 2100Mw kwa sekunde, au saa, au siku.

Tuache kukimbia masomo ya Sayansi jamani, mnakuja kutuchosha waTz wenzenu ukubwani, khaa..;

Analogoulsly.. (mfananisho)

Nikwambie Gari lako lina uwezo wa kukimbia kwa maximum speed ya kilomita 200 kwa saa (200kph).., halafu unakuja kuniuliza, hizo kilomita 200 imetembea kwa muda gani, wakati gari imepaki na haijatembea bado, si nitakuona chizi,., ?!
 
Hapo hujatoa production cost na transport cost .Bei ya Unit 1 ni 357 sio 600,Ni wizi tuu
Sijasema Trillion 12 ni faida, bali ni pesa ambayo mtuamiaji anapaswa kulipa endapo anataka kuununua huo umeme, Taxation included.
 
Back
Top Bottom