Neema Peter Thomas, ambaye ni Mmiliki mwenza wa mabasi ya Esther ni nani?

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
12,505
Reaction score
40,002
Jana nilisikia Mwigulu akimtaja mke wake kuwa anaitwa Neema Peter. Na kwamba haitwi Esther kama tunavyodhani.

Leo katika putapita zangu nikakuta wamiliki wa mabasi ya Esther ni Joseph Didas Ngeleuya na Neema Peter Thomas. Kwa anayemjua huyu Neema msaada tafadhali.

Halafu kumbe mmiliki wa haya mabasi Haitwi Esther kama nilivyokuwa nadhani. Sijui hata kwanini niliwaza hivyo?

20251122_134009.jpg
 
View attachment 3505833
Hakuna shida kama umiliki ni wa mkewe pia ikiwa mali ni za halali ila kama ni za kona kona na wizi basi kuna shida kubwa.
 
Ona hii akili. Usikute huyu ni kiongozi. Hivi unajua kama mtakatisha fedha asiyetumia akili humilikisha vitu mke watoto au ndugu? Unakuta mke ana mali nyingi ambazo hawezi kuthibitisha chanzo chake
 
Jana nilisikia Mwigulu akimtaja mke wake kuwa anaitwa Neema Peter. Na kwamba haitwi Esther kama tunavyodhani.

Leo katika putapita zangu nikakuta wamiliki wa mabasi ya Esther ni Joseph Didas Ngeleuya na Neema Peter Thomas. Kwa anayemjua huyu Neema msaada tafadhali.

Halafu kumbe mmiliki wa haya mabasi Haitwi Esther kama nilivyokuwa nadhani. Sijui hata kwanini niliwaza hivyo?

View attachment 3505833
Hamjafika makabuli ya kwa kondo?
 
Akina Neema hapa Tza wengi sana sijui utawajua wangapi ,cha msingi ni kupambana tu na sisi tumiliki haya Mayutong
 
Huyo sio mke wa Mwigulu, ni shemeji yake Mwigulu. Nchemba ameoa ndugu yake waliachiwa hayo magari na Ngesera. Lakini nikwambie huyo Esther ana bus chache sana, hayo mengi yaliyozagaa ndio mtafute ni ya nani?!
Hayakutiwa kiberiti bahati mbaya, walipiga penyewe
 
Huyu jamaa sio kiongozi ni shamba boy

Tulaani Elimu ya kisukula iliyokuja Afrika kabla ya wakati wake na kuhalisha upumbavu
 
Huyo sio mke wa Mwigulu, ni shemeji yake Mwigulu. Nchemba ameoa ndugu yake waliachiwa hayo magari na Ngesera. Lakini nikwambie huyo Esther ana bus chache sana, hayo mengi yaliyozagaa ndio mtafute ni ya nani?!
Hayakutiwa kiberiti bahati mbaya, walipiga penyewe
Kwenye ulimwengu wa biashara kuna mengi. Kuna issues za silent owner na hii wanasiasa wengi wanaitumia kujifichia humo.

Lakini hawa wanasiasa si wanalipwa pesa? Sioni kama ni makosa wao kumiliki mali za kibiashara, endapo tu zimepatikana kihalali
 
Back
Top Bottom