Neema Peter Thomas ni mke wa Mwigulu Nchemba! Juzi alikanusha upumbavu!Jana nilisikia Mwigulu akimtaja mke wake kuwa anaitwa Neema Peter. Na kwamba haitwi Esther kama tunavyodhani.
Leo katika putapita zangu nikakuta wamiliki wa mabasi ya Esther ni Joseph Didas Ngeleuya na Neema Peter Thomas. Kwa anayemjua huyu Neema msaada tafadhali.
Halafu kumbe mmiliki wa haya mabasi Haitwi Esther kama nilivyokuwa nadhani. Sijui hata kwanini niliwaza hivyo?
View attachment 3505833
Hivi waandamanaji walijuaje hadi wakapiga target?Huyo sio mke wa Mwigulu, ni shemeji yake Mwigulu. Nchemba ameoa ndugu yake waliachiwa hayo magari na Ngesera. Lakini nikwambie huyo Esther ana bus chache sana, hayo mengi yaliyozagaa ndio mtafute ni ya nani?!
Hayakutiwa kiberiti bahati mbaya, walipiga penyewe
Kuna wengine huwa wanaona kuwaandika wake basi mali zake zote ziko kwenye mikono salama.Ona hii akili. Usikute huyu ni kiongozi. Hivi unajua kama mtakatisha fedha asiyetumia akili humilikisha vitu mke watoto au ndugu? Unakuta mke ana mali nyingi ambazo hawezi kuthibitisha chanzo chake
Kujuaje nini mkuu?Hivi waandamanaji walijuaje hadi wakapiga target?
Read between the lines, hayo mabasi Mwigulu ndiye mmiliki. He is using the wife as a proxy owner.Lengo lako ni nini sasa kumjua huyo mtu?? 🤔 🤔.
Wale waandamanaji walichoma magari kwa target kuanzia kule Shekilango palikua na magari mengi lakini hawakua na muda nayo, walideal na Ester, Shabiby na RATCO... nachouliza ilikuaje waliselect hayo makampuni tu?Kujuaje nini mkuu?