Hakuna shida kama umiliki ni wa mkewe pia ikiwa mali ni za halali ila kama ni za kona kona na wizi basi kuna shida kubwa.Jana nilisikia Mwigulu akimtaja mke wake kuwa anaitwa Neema Peter. Na kwamba haitwi Esther kama tunavyodhani.
Leo katika putapita zangu nikakuta wamiliki wa mabasi ya Esther ni Joseph Didas Ngeleuya na Neema Peter Thomas. Kwa anayemjua huyu Neema msaada tafadhali.
Halafu kumbe mmiliki wa haya mabasi Haitwi Esther kama nilivyokuwa nadhani. Sijui hata kwanini niliwaza hivyo?
View attachment 3505833
Ona hii akili. Usikute huyu ni kiongozi. Hivi unajua kama mtakatisha fedha asiyetumia akili humilikisha vitu mke watoto au ndugu? Unakuta mke ana mali nyingi ambazo hawezi kuthibitisha chanzo chakeHakuna shida kama umiliki ni wa mkewe pia ikiwa mali ni za halali ila kama ni za kona kona na wizi basi kuna shida kubwa.
Apate ajenda mpya.Lengo lako ni nini sasa kumjua huyo mtu?? 🤔 🤔.
Hamjafika makabuli ya kwa kondo?Jana nilisikia Mwigulu akimtaja mke wake kuwa anaitwa Neema Peter. Na kwamba haitwi Esther kama tunavyodhani.
Leo katika putapita zangu nikakuta wamiliki wa mabasi ya Esther ni Joseph Didas Ngeleuya na Neema Peter Thomas. Kwa anayemjua huyu Neema msaada tafadhali.
Halafu kumbe mmiliki wa haya mabasi Haitwi Esther kama nilivyokuwa nadhani. Sijui hata kwanini niliwaza hivyo?
View attachment 3505833
Hajafika bado tuwe na subraMzee kule kwenye uzi wa kwenda kondo umekimbia kabisa? Nenda Katie mrejesho basi.
Ni kupoteza mda tu.. Tujenge maisha yetu mda ni mchache hapa duniani.Apate ajenda mpya.
Kwenye ulimwengu wa biashara kuna mengi. Kuna issues za silent owner na hii wanasiasa wengi wanaitumia kujifichia humo.Huyo sio mke wa Mwigulu, ni shemeji yake Mwigulu. Nchemba ameoa ndugu yake waliachiwa hayo magari na Ngesera. Lakini nikwambie huyo Esther ana bus chache sana, hayo mengi yaliyozagaa ndio mtafute ni ya nani?!
Hayakutiwa kiberiti bahati mbaya, walipiga penyewe
Sana!Mbogamboga ni majizi.