Neema Peter Thomas, ambaye ni Mmiliki mwenza wa mabasi ya Esther ni nani?

Neema Peter Thomas ni mke wa Mwigulu Nchemba! Juzi alikanusha upumbavu!
 
Hivi waandamanaji walijuaje hadi wakapiga target?
 
Ona hii akili. Usikute huyu ni kiongozi. Hivi unajua kama mtakatisha fedha asiyetumia akili humilikisha vitu mke watoto au ndugu? Unakuta mke ana mali nyingi ambazo hawezi kuthibitisha chanzo chake
Kuna wengine huwa wanaona kuwaandika wake basi mali zake zote ziko kwenye mikono salama.
Ila hajui kuwa huyo mke anaweza kuachana nae na akaolewa na mweingine au hata vifo huja pia.
Labda waandikishane kwa mwanasheria
 
Kujuaje nini mkuu?
Wale waandamanaji walichoma magari kwa target kuanzia kule Shekilango palikua na magari mengi lakini hawakua na muda nayo, walideal na Ester, Shabiby na RATCO... nachouliza ilikuaje waliselect hayo makampuni tu?
 
Haitwo Neema Thomas,but whatever the case hakuna tajiri mwanasiasa mjinga anaweza uweka utajiri wake hadharani kiasi hicho-maana ni risky.
Hayo anayaweza darasa la 7 shabiby na abdi-ila watakuwa wamejifunza
 
Katika majitu ya hovyo hilo limwigulu nalo halikosekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…