Such ungrateful soul!
Naungana na wewe mkuu. Ninachojua ni kuwa alimtumbua kwa sababu ya mshahara. Nasikia alikuwa analipwa 35 M.Tusichukulie kirahisi kuwa MCHECHU ni fisadi kwa vile uteuzi wake ulitenguliwa na Magufuli.
Nakuhakikishia kuwa The Citizen wataomba radhi mapema sana kumsafisha Nehemia MCHECHU...
Ningekuwa mimi ningetulia tu niendelee na kazi zangu.Huyu naye karudishwa na mafisadi wenzake kulinda maslahi yao binafsi
Sheria ni mchezo mchafu.Uhuni tu! Huyu bwana karudishwa hapo na wapigaji wenzake! Alikuwa najipimisha viwanja wenyewe halafu anaviuza!
Kwa hiyo kila aliyeteuliwa na magufuli alikuwa ndugu yake?Tusichukulie kirahisi kuwa MCHECHU ni fisadi kwa vile uteuzi wake ulitenguliwa na Magufuli.
Nakuhakikishia kuwa The Citizen wataomba radhi mapema sana kumsafisha Nehemia MCHECHU. Kw sababu kutenguliwa siyo kufukuzwa. Magufuli alikuwa anawatoa kazini watu anaowashuku kuwa ni mafisadi na kuwaweka ndugu zake kwenye nafasi zile.
Isitoshe MCHECHU hakufunguliwa mashtaka yoyote.
Tuache kuwachukia watu kwa vile wana fedha kutuzidi.
Acha kum overrated JPM hivi Nchambi si alikiri kuhusika na ujangili mbona JPM alimpitisha kugombea ubunge?? Mwanyika si ndio JPM alidai kampuni yake ya ACACIA ilisababisha Tanzania hasara ya Trillion 450!! Mbona alimpa ubunge na kumuIta mzalendo??Kwaio baada ya kumtoa Mchechu akamuweka ndugu yake yupi ktk io nafasi ya DG wa NHC? Km humfahamu Mchechu bora ukae kimya sio kutafta sababu za kijinga kumsafisha...
Umeongea vizuri sana kuhusu kuchafua watu ukaja kuharibu hoja yaako kwa kutuhumu Magufuli alitumbua watu na kuweka nduguze.Tusichukulie kirahisi kuwa MCHECHU ni fisadi kwa vile uteuzi wake ulitenguliwa na Magufuli...
🤣🤣🤣mahakama zitajaaMkuu angalia asije kukufungulia kesi na wewe... nchi imerudi kwa wenyewe 🐒
ccm waanikane? utasubiri sana.Mchechu, usianzishe vita ya mawe wakati unaishi nyumba ya vioo!
Kumbuka hilo sana na ukweli utakapoanikwa kuhusu madudu yako Utakoma!
🤣🤣🤣Kwani mumeo ana maendeleo?
Umeshindwa kumtaja ndugu yake na JPM aliepewa nafasi ya Mchechu umeanza kutoka mapovu, hii ndio silaha pekee mlionayo watu msiokua na hoja, hoja kwenu ni matusi.Wewe una ubongo wa mende!! Heshima gani yule Pimbi wa Chato aliyomlindia JK? Wakati kutwa alikuwa anamponda kuwa hakufanya lolote ila yeye ndiyo anafanya.
Hata wewe humfahamu MCHECHU, umeanza kumsikia tu baada ya kumuona NHC
Ni vizur sometimes kunyamaza
Sioni Afya kwenye haya madai
Nadhani yeye anatakiwa atuoneshe uwezo wake hao wapiga kelele awapotezee
Na mimi nasubiri hili jibu la huyo ndugu yake na JPM aliechukua nafasi ya MCHECHU maana ht aliemtumbua hakua JPM bali Lukuvi.Umeongea vizuri sana kuhusu kuchafua watu ukaja kuharibu hoja yaako kwa kutuhumu Magufuli alitumbua watu na kuweka nduguze.
Sasa tuambie alimuweka ndugu yake aitwaye nani hapo NHC baadaya ya Mchechu?
Ana uhusiano upi wa kindugu na huyo aliyemuweka?
Kwahiyo hapo NHC aliwekwa ndugu yupi wa Magufuli?Tusichukulie kirahisi kuwa MCHECHU ni fisadi kwa vile uteuzi wake ulitenguliwa na Magufuli.
Nakuhakikishia kuwa The Citizen wataomba radhi mapema sana kumsafisha Nehemia MCHECHU. Kw sababu kutenguliwa siyo kufukuzwa. Magufuli alikuwa anawatoa kazini watu anaowashuku kuwa ni mafisadi na kuwaweka ndugu zake kwenye nafasi zile.
Isitoshe MCHECHU hakufunguliwa mashtaka yoyote.
Tuache kuwachukia watu kwa vile wana fedha kutuzidi.
Muombe Mungu akuondolee roho ya kimaskiniPeleka upuuzi wako huko, hatuoni mafisadi yote yamerudi kwa kasi!
We fwala kweli, miaka yote 20 JPM akiwa kwenye uwaziri hakuwa na roho mbaya, aliposhikilia usukani mkuu wa nchi na kuanza kutumbua jipu lako la vyeti feki, ukosefu wa maadili ya kazi na kuziba mianya ya upigaji madili ikiwa na kuuza madawa ya kulevya ndiyo awe na roho mbaya, swine [emoji34]Msiwe na roho mbaya kama ya Magufuli.
Tafuteni mafanikio yenu badala ya kupiga domo na kuutukuza umasikini wenu, mkifikiri umasikini ndio uadilifu.