Nehemia Mchechu adai fidia Tsh. billioni 3 kwa kuchafuliwa na Gazeti la The Citizen

Nehemia Mchechu adai fidia Tsh. billioni 3 kwa kuchafuliwa na Gazeti la The Citizen

View attachment 2226453

...vilevile amedai Hayati Magufuli hakumfukuza NHC bali alichafuliwa.
Such ungrateful soul!

I am disappointed in him kama amefanya hiki kitu. Ipo siku ambayo wote hatuijui atafanyiwa lifestyle audit ndo atajua hajui. wengi wanajua haya mambo na uchafu wao lakini wanakaa kimya.

Hivi hawa watu wanawaonaje waTanzania? Sad!

Kama Mchechu ana washauri, wamwambie. Amepotoka.
 
Tusichukulie kirahisi kuwa MCHECHU ni fisadi kwa vile uteuzi wake ulitenguliwa na Magufuli.

Nakuhakikishia kuwa The Citizen wataomba radhi mapema sana kumsafisha Nehemia MCHECHU...
Naungana na wewe mkuu. Ninachojua ni kuwa alimtumbua kwa sababu ya mshahara. Nasikia alikuwa analipwa 35 M.
 
Uhuni tu! Huyu bwana karudishwa hapo na wapigaji wenzake! Alikuwa najipimisha viwanja wenyewe halafu anaviuza!
Sheria ni mchezo mchafu.

Jambazi aliyekupora..ukimshtaki na ukashindwa kuthibitisha anaweza kukushtaki na ukamlipa tena fidia ya kuchafua jina lake.

Serikali ilikosea kumtuhumu na ikashindwa kwenda kuthibitisha yuhuma mahakamani..acheni adai
 
Tusichukulie kirahisi kuwa MCHECHU ni fisadi kwa vile uteuzi wake ulitenguliwa na Magufuli.

Nakuhakikishia kuwa The Citizen wataomba radhi mapema sana kumsafisha Nehemia MCHECHU. Kw sababu kutenguliwa siyo kufukuzwa. Magufuli alikuwa anawatoa kazini watu anaowashuku kuwa ni mafisadi na kuwaweka ndugu zake kwenye nafasi zile.

Isitoshe MCHECHU hakufunguliwa mashtaka yoyote.

Tuache kuwachukia watu kwa vile wana fedha kutuzidi.
Kwa hiyo kila aliyeteuliwa na magufuli alikuwa ndugu yake?
 
Kwaio baada ya kumtoa Mchechu akamuweka ndugu yake yupi ktk io nafasi ya DG wa NHC? Km humfahamu Mchechu bora ukae kimya sio kutafta sababu za kijinga kumsafisha...
Acha kum overrated JPM hivi Nchambi si alikiri kuhusika na ujangili mbona JPM alimpitisha kugombea ubunge?? Mwanyika si ndio JPM alidai kampuni yake ya ACACIA ilisababisha Tanzania hasara ya Trillion 450!! Mbona alimpa ubunge na kumuIta mzalendo??

CCM haukuwahi kuisha mafisadi so msitake kufanya JPM alikua malaika Fulani aliyeondoa mafisadi yote otherwise kina Chenge wasingejua uraiani
 
Tusichukulie kirahisi kuwa MCHECHU ni fisadi kwa vile uteuzi wake ulitenguliwa na Magufuli...
Umeongea vizuri sana kuhusu kuchafua watu ukaja kuharibu hoja yaako kwa kutuhumu Magufuli alitumbua watu na kuweka nduguze.
Sasa tuambie alimuweka ndugu yake aitwaye nani hapo NHC baadaya ya Mchechu?

Ana uhusiano upi wa kindugu na huyo aliyemuweka?
 
Mchechu, usianzishe vita ya mawe wakati unaishi nyumba ya vioo!
Kumbuka hilo sana na ukweli utakapoanikwa kuhusu madudu yako uwe tayari kuyakabili hasa yale ya NHC.
 
Wewe una ubongo wa mende!! Heshima gani yule Pimbi wa Chato aliyomlindia JK? Wakati kutwa alikuwa anamponda kuwa hakufanya lolote ila yeye ndiyo anafanya.

Hata wewe humfahamu MCHECHU, umeanza kumsikia tu baada ya kumuona NHC
Umeshindwa kumtaja ndugu yake na JPM aliepewa nafasi ya Mchechu umeanza kutoka mapovu, hii ndio silaha pekee mlionayo watu msiokua na hoja, hoja kwenu ni matusi.

ww ndio umeanza kumskia baada ya kua NHC sisi tulio ktk banking industry tunamfahamu kitambo io ht jina hana.
 
Pia akumbuke awamu hizi hupita na hujiriudia asiache mbachao, kuna wana wanaona wamefika kabisa na hii nchi
Ni vizur sometimes kunyamaza
Sioni Afya kwenye haya madai
Nadhani yeye anatakiwa atuoneshe uwezo wake hao wapiga kelele awapotezee
 
Umeongea vizuri sana kuhusu kuchafua watu ukaja kuharibu hoja yaako kwa kutuhumu Magufuli alitumbua watu na kuweka nduguze.
Sasa tuambie alimuweka ndugu yake aitwaye nani hapo NHC baadaya ya Mchechu?
Ana uhusiano upi wa kindugu na huyo aliyemuweka?
Na mimi nasubiri hili jibu la huyo ndugu yake na JPM aliechukua nafasi ya MCHECHU maana ht aliemtumbua hakua JPM bali Lukuvi.
 
Tusichukulie kirahisi kuwa MCHECHU ni fisadi kwa vile uteuzi wake ulitenguliwa na Magufuli.

Nakuhakikishia kuwa The Citizen wataomba radhi mapema sana kumsafisha Nehemia MCHECHU. Kw sababu kutenguliwa siyo kufukuzwa. Magufuli alikuwa anawatoa kazini watu anaowashuku kuwa ni mafisadi na kuwaweka ndugu zake kwenye nafasi zile.

Isitoshe MCHECHU hakufunguliwa mashtaka yoyote.

Tuache kuwachukia watu kwa vile wana fedha kutuzidi.
Kwahiyo hapo NHC aliwekwa ndugu yupi wa Magufuli?
 
Msiwe na roho mbaya kama ya Magufuli.
Tafuteni mafanikio yenu badala ya kupiga domo na kuutukuza umasikini wenu, mkifikiri umasikini ndio uadilifu.
We fwala kweli, miaka yote 20 JPM akiwa kwenye uwaziri hakuwa na roho mbaya, aliposhikilia usukani mkuu wa nchi na kuanza kutumbua jipu lako la vyeti feki, ukosefu wa maadili ya kazi na kuziba mianya ya upigaji madili ikiwa na kuuza madawa ya kulevya ndiyo awe na roho mbaya, swine [emoji34]
 
Back
Top Bottom