Nehemia Mchechu adai fidia Tsh. billioni 3 kwa kuchafuliwa na Gazeti la The Citizen

Case ngumu kwa Citizen. The burden of proof lies with them. They have to prove what they wrote beyond reasonable doubt.
 
Reactions: Qwy
Wewe lijinga likubwa hujui kwamba siku ya kwanza Magufuli kuteuliwa Naibu Waziri kwa roho yake mbaya alimtimua injinia pale wizara ya ujenzi, aliye kuwa naye Chuo Kikuu.

Roho mbaya ya huyo jamaa ni ya asili ya kwenu huko uhutuni.
 
Jamaa walimzushia kwa kumweleza JPM kuwa ana Ghorofa Dubai. Walipotumwa watu kwenda kuhakiki hawakukuta kitu. Nasikia JPM alichukia sana.
 
Haya ndiyo maneno ayaone Gobole anayejifanya anamjua MCHECHU kumbe kamsikia wakati Magufuli ameanza kumuonea wivu.

Magufuli alikuwa mpumbavu sana. Kuna siku wakati Ernest Mangu ni IGP aliwahi kusema I wish ningekuwa IGP!! Very sad tulimpa madaraka mtu mshamba kutoka Kolomije lakini hakujua uzito na ukubwa wa uRais
 
Nadhani hata mimba zipo zinazopatikana kifisadi.
Na uzao wake huwa kama huu wako mwandishi unayetapika uharo huu.
Kama huna point, soma taratibu hoja za ma Great Thinker halafu sepa. Hatuwezi kushindana kwa matusi humu
 
Umeongea vizuri sana kuhusu kuchafua watu ukaja kuharibu hoja yaako kwa kutuhumu Magufuli alitumbua watu na kuweka nduguze.
Sasa tuambie alimuweka ndugu yake aitwaye nani hapo NHC baadaya ya Mchechu?

Ana uhusiano upi wa kindugu na huyo aliyemuweka?
Yawezekana hakupeleka ndugu yake NHC, nitakuwa nime generalize. Lakini kuna maeneo mengi tu ambayo yalidhibitiwa na ndugu kama Ditto James
 
Kama ulikuwa Banking Industry basi mpe shikamoo MCHECHU kwa kuwa huwezi hata kuwa car washer wa gari yake. Wewe ni karani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…