Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
100%Ni vizur sometimes kunyamaza
Sioni Afya kwenye haya madai
Nadhani yeye anatakiwa atuoneshe uwezo wake hao wapiga kelele awapotezee
Wewe lijinga likubwa hujui kwamba siku ya kwanza Magufuli kuteuliwa Naibu Waziri kwa roho yake mbaya alimtimua injinia pale wizara ya ujenzi, aliye kuwa naye Chuo Kikuu.We fwala kweli, miaka yote 20 JPM akiwa kwenye uwaziri hakuwa na roho mbaya, aliposhikilia usukani mkuu wa nchi na kuanza kutumbua jipu lako la vyeti feki, ukosefu wa maadili ya kazi na kuziba mianya ya upigaji madili ikiwa na kuuza madawa ya kulevya ndiyo awe na roho mbaya, swine [emoji34]
Fedha zilizokuwa zinapelekwa chato sasa zitakwenda kujenga nyumba za wananchi. Hilo ndio lilikuwa kosa la Mchechu.Huyu naye karudishwa na mafisadi wenzake kulinda maslahi yao binafsi
Umesoma mada? haya yanatoka wapi? Mbona kila mara una tabia ya kukurupuka kama uharo?Kuna mmoja wa ufipa Kila siku hakosi ikulu, mpaka wale tausi na swala wamemzoea Sasa, hawamkimbii
Amejenga nini?Fedha zilizokuwa zinapelekwa chato sasa zitakwenda kujenga nyumba za wananchi. Hilo ndio lilikuwa kosa la Mchechu.
We mpuuzi unapewa vocha kichwa kinawaka moto wenzako wanapiga mabilioniMuombe Mungu akuondolee roho ya kimaskini
Ndiyo ukweli
MCHECHU ni fisadi?kama ndio kesi yake ipo mahakama ipi tuifuatilie?Peleka upuuzi wako huko, hatuoni mafisadi yote yamerudi kwa kasi!
Mahakama zinaeleweka?MCHECHU ni fisadi?kama ndio kesi yake ipo mahakama ipi tuifuatilie?
Jamaa walimzushia kwa kumweleza JPM kuwa ana Ghorofa Dubai. Walipotumwa watu kwenda kuhakiki hawakukuta kitu. Nasikia JPM alichukia sana.Tusichukulie kirahisi kuwa MCHECHU ni fisadi kwa vile uteuzi wake ulitenguliwa na Magufuli.
Nakuhakikishia kuwa The Citizen wataomba radhi mapema sana kumsafisha Nehemia MCHECHU. Kwa sababu kutenguliwa siyo kufukuzwa. Magufuli alikuwa anawatoa kazini watu anaowashuku kuwa ni mafisadi na kuwaweka ndugu zake kwenye nafasi zile.
Isitoshe MCHECHU hakufunguliwa mashtaka yoyote.
Tuache kuwachukia watu kwa vile wana fedha kutuzidi.
Asante mkuu barikiwa sana NehemiaKwa hili unaweza kuwa mjinga na hao wenye hayo mawazo kama yako. Nenda kajifunze utoe huo ujinga.
Haya ndiyo maneno ayaone Gobole anayejifanya anamjua MCHECHU kumbe kamsikia wakati Magufuli ameanza kumuonea wivu.Jamaa (Nehemia) japo anatupiwa makombora, lakini aliipaisha sana CBA akiwa MD & CEO pale.
Huku NHC alijitahidi japo bado makando kando yalikuwepo, kwa kuwa jiwe alikuwa hapendi/ hataki ushahidi akaamua kumtengua.
He was an insipirational and transformational business leader.
Kama huna point, soma taratibu hoja za ma Great Thinker halafu sepa. Hatuwezi kushindana kwa matusi humuNadhani hata mimba zipo zinazopatikana kifisadi.
Na uzao wake huwa kama huu wako mwandishi unayetapika uharo huu.
Kwenye sensitive positionsKwa hiyo kila aliyeteuliwa na magufuli alikuwa ndugu yake?
Yawezekana hakupeleka ndugu yake NHC, nitakuwa nime generalize. Lakini kuna maeneo mengi tu ambayo yalidhibitiwa na ndugu kama Ditto JamesUmeongea vizuri sana kuhusu kuchafua watu ukaja kuharibu hoja yaako kwa kutuhumu Magufuli alitumbua watu na kuweka nduguze.
Sasa tuambie alimuweka ndugu yake aitwaye nani hapo NHC baadaya ya Mchechu?
Ana uhusiano upi wa kindugu na huyo aliyemuweka?
Kama ulikuwa Banking Industry basi mpe shikamoo MCHECHU kwa kuwa huwezi hata kuwa car washer wa gari yake. Wewe ni karani tuUmeshindwa kumtaja ndugu yake na JPM aliepewa nafasi ya Mchechu umeanza kutoka mapovu, hii ndio silaha pekee mlionayo watu msiokua na hoja, hoja kwenu ni matusi.
ww ndio umeanza kumskia baada ya kua NHC sisi tulio ktk banking industry tunamfahamu kitambo io ht jina hana.
Duuh Yaani walikuwa wanamdanganya hadi Rais?Jamaa walimzushia kwa kumweleza JPM kuwa ana Ghorofa Dubai. Walipotumwa watu kwenda kuhakiki hawakukuta kitu. Nasikia JPM alichukia sana.
Na wewe ni yale yale - wivu wa kike na fuata upepoHuyu naye karudishwa na mafisadi wenzake kulinda maslahi yao binafsi