Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Ndugu zama zimebadilika, mazingira yamebadilia na maisha yamebadilika. NHC ya zama hizo ya sera za kijamaa ilishakufa kitambo sana. Watanzania hatuhitaji tena kuwa na NHC ya kutujengea nyumba walalahoi maana NHC haiokoti pesa, tunataka NHC ya kusaka pesa za matajiri wanaotaka kuishi sehemu chache specho, ili hizo pesa tukajengee madarasa, zahanati, vyoo vya shule nk.Hilo shirika lilianzishwa kutoa unafuu wa makazi kwa wafanyakazi na watu wa kawaida wakazi wa mjini, lakini tunashanga limebadilika kuwa la kuwajengea matajiri nyumba na sasa wanataka kumilikisha matajiri maeneo wanayoita prime areas kwa kujificha kwenye kichaka cha ubia.
Watanzania walalahoi huenda tuko karibu milioni 40, sasa NHC itajenga nyumba ngapi ili sote tukae?