Nehemia Mchechu na Lawrence Mafuru warejea ulingoni, January Makamba awateua Wajumbe wa Bodi ya TANESCO

Mchechu, Mafuru, Mramba, n.k msoga line.

Huu si uteuzi wa jamaa. Kile kiwanda cha kuzalisha nguzo za zege ni cha?

Fungeni mikanda, ndo tumeanza kuingia kwenye turbulences, mpaka Dec 26, tutakuwa tumeshazoea.
 
Huyu mchechu alivyokua D.G NHC alipiga madili ya Viwanja sana. Alikua ananunua viwanja kwa bei rahisi kupitia aliases then anaviuza kwa NHC kwa mabilioni, ama kweli safu nzima ya Mzee wa Msoga Itarudi yote. Yetu macho. Mama endelea kuupiga Mwingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…