Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unategemea mchechu akwambie yeye ni mchafu? Alafu kuhusu NHC mbona taarifa zake zipo wazi tu hata leo Millard kapost madeni ya NHCMkuu haya umeandika kutoka upande wako, ingependeza kama tungeyasikia ya upande wa Mchechu ili wenye akili waweze kuweka mizania sahihi ya kuupima ukweli unatoka kwa nani.
Kweli alikuwa mpigaji kununua ndege 8 kwa miaka 5tu,wenzake akina Kikwete,Mwinyi,Mkapa walishitakiwa kununua hata moja kwa miaka 30.nchi si ya kuongozwa na wapigaji anatakiwa kichaaa mwingine mfano wa Jiwe.
Huyo jiwe hakuwa muadilifu, bali alizuia uhuru wa habari ili upigaji wake na genge lake la makatili wa sukuma gang wasifahamike.
Kweli alikuwa mpigaji kununua ndege 8 kwa miaka 5tu,wenzake akina Kikwete,Mwinyi,Mkapa walishitakiwa kununua hata moja kwa miaka 30.
Wewe hujui msimamo wangu kuhusu siasa kwani nilimkosoa mwendazake kuhusu sera zake kwenye kutozilinda private sectors.Upigaji gani?? Naona mnazidi kujifariji na stori za kutunga Chato gang
Unaifahamu bei ya ndege alizonunua Magufuli na mjomba wake ?Kweli alikuwa mpigaji kununua ndege 8 kwa miaka 5tu,wenzake akina Kikwete,Mwinyi,Mkapa walishitakiwa kununua hata moja kwa miaka 30.
Unajua safari za Kikwete ziligharimu taifa kiasi gani?Unaifahamu bei ya ndege alizonunua Magufuli na mjomba wake ?
Kwani ile mahakama ya mafisadi si ipo...!!! Kwanini wasipelekwe huko? Au ile ilikuwa ya Lowassa pekee ambaye hata hajapelekwa huko?Mafisadi wanarudi kwa kasi