The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
- Thread starter
-
- #41
Mandela alitoa saini ya kuuza ardhi kwa wazungu..Kwa nini Marais waliofuata hawakuirudisha hiyo ardhi mpaka leo??
Tarehe 20 Aprili 1964, akiwa na umri wa miaka 45, akiwa tayari anatumikia kifungo cha miaka 5, kilichoanza 1962, alisimama kizimbani katika kesi iliyojulikana kama kesi ya Rivonia, Mandela alikiri kuwa alikuwa mmoja wa waasisi wa Umkhoto we Sizwe na kuwa alihusika katika juhudi za ku sabotage utawala wa makaburu. Alisema hivyo akijua thika kuwa anaweza kuhumiwa kifo. Lakini aliwaambia makaburu kuwa yote tayari kufa kwa ajili ya imani yake. Akahumiwa kifungo cha maisha. Kwa miaka 18 ya kifungo hicho alipasuwa mawe, alilala kwenye sakafu na alikuwa kwenye selo isiyokuwa na choo. Na kwa muda wote huo hakutetereka katika imani yake. Mwaka 1985 Mandela alikataa ofa ya kuachiwa kutoka jela kwa sharti la kuacha shughuli za ukombozi. Alibaki jela mpaka 1990.
Alipotoka jela alikuta kuna mapambano makali kati ya ANC na Inkatha Freedom Party cha Chief Buthelezi. Mandela akamfanya Buthelezi Waziri wa Mambo ya Ndani. Na alimuachia nchi mara 22 kama acting President.
Ingawa alikuwa na uwezo wa kuendelea kuwa Rais, Mandela alikataa kugombea na mwaka 1999 akaachia urais.
Wakati viongozi wake wenzake wanakataa uwepo wa Ukimwi, Mandela alisema wazi kuwa mwanae alifariki kwa ukimwi!
Kwa kumshutumu Mandela kwa kuwauza watu wake, kunaonyesha wazi msivyoijua historia ya huo uafrika mnaojifanya kuutetea.
Amandla...
Kukomaa kupi kulileta faida kwa watu wake?Vizuri sana mkuu, kwa kuendelea kukomaa kwake ukute hata wakina malema wasingewahi kujulikana.
Wapo waliokufa yeye alikuwa anakula ugali wa bure jelaKuna watu wana akili za ajabu sana,wao hutaka maendeleo na mafanikio kwa kufa au kudhurika kwa wengine
Acha upuuzi wako wewe mbilikimo wa akili..Mleta mada na watu wa namna yako ni wapuuzi sana, Kwahiyo mulitaka SA iwe kama Zimbabwe?
RubbishMbona hangaya anapora ardhi ya wamasai anawapa waarabu na wewe ni chawa wake?
Unasema hivyo sababu unaweza kununua kiwanja dar es sallam au arusha au mwanza ai mikocheni ili mradi pesa yako. Wenzio weusi huko SA hawaruhusu hata kudhuru fukwe za miji wanayoishi makaburu.Mugabe aliwanyang'anya ardhi wakoloni na kuwapa waafrika wenzake. Idi Amin aliwanyang'anya wahindi biashara zao akawapa waafrika wenzake na akawafukuza nchini. Sasa hivi wazimbabwe wako tayari kuishi maisha duni Afrika ya Kusini kuliko kubaki kwao. Museveni alipoingia madarakani aliwaangukia wahindi waliofukuzwa ili warudi na waendeshe mashamba na biashara zilizoporwa. Sisi wenyewe tuliwanyang'anya nyumba na biashara za wahindi lakini mwisho wa siku tukawarudishia kimya kimya.
Mandela anastahili heshima anayopewa.
Amandla...
Wengi wanamkubali kwa hisia tu. Mandela aliyeingia jela si mandela aliyetoka jela.Duh kwa ambavyo nimekua namkubali Mandela, mngesubiri kizazi chetu kiondoke kabla kuanza kumsema...
Umempa ndonga nzuri sana huyu kiroboto wa Hangaya.Mbona hangaya anapora ardhi ya wamasai anawapa waarabu na wewe ni chawa wake?
Hujamalizia mwambie hao viongoz wote waliopora mashamba na Mali za wazungu walikuwa na mwisho mbaya SanaMugabe aliwanyang'anya ardhi wakoloni na kuwapa waafrika wenzake. Idi Amin aliwanyang'anya wahindi biashara zao akawapa waafrika wenzake na akawafukuza nchini. Sasa hivi wazimbabwe wako tayari kuishi maisha duni Afrika ya Kusini kuliko kubaki kwao. Museveni alipoingia madarakani aliwaangukia wahindi waliofukuzwa ili warudi na waendeshe mashamba na biashara zilizoporwa. Sisi wenyewe tuliwanyang'anya nyumba na biashara za wahindi lakini mwisho wa siku tukawarudishia kimya kimya.
Mandela anastahili heshima anayopewa.
Amandla...
Usikimbilie kutukana jibu hoja,uchawa wako Kwa Samia unakutoa ufahamu unatukana kila anayemkosoa.Rubbish
Duh!.. hii kaliTuliposema Nelson alifia jela akatoka feki si mlikataa.
Sasa bado endeleeni kubisha kuwa Mandela original alifia jela
Rotten mind,kuna hoja gani hapo?Usikimbilie kutukana jibu hoja,uchawa wako Kwa Samia anakutoa ufahamu unatukana kila anayemkosoa.
Too harsh...Hakuna rais mpigania Uhuru mpumbavu kama Mandela. Yes you read it correctly.
Mugabe did the same. Akajirekebisha 2007. Wakamwekea vikwazo. Yule Mandela akapewa birthday London FiFa World Cup ili aendelee kuwaacha wazungu.
It will take bloodshed for black South Africans to regain their land which they lost since 1652.
After 50 yrs from now, drunkard will be urinating on Mandela's grave.
Alikuuzia wewe? Kama nia ilikuwa ni kutoka jela angetoka 1985 lakini alikataa. Alitoka 1990 baada ya De Klerk kukubali utawala wa walio wengi.Ilikuaje akawauza wenzio from all such sufferings?
Narudia tena kuna waliokufa kwa ajili ya harakati ,kwa nini auze Nchi Ili tuu atoke jela?
Nasema hivi anaemiliki 80% ya Ardhi huko S.Africa ni nani?Alikuuzia wewe? Kama nia ilikuwa ni kutoka jela angetoka 1985 lakini alikataa. Alitoka 1990 baada ya De Klerk kukubali utawala wa walio wengi.
Muwe na adabu.
Amandla....