Bendera ya rais ina nembo ambayo haina bibi na bwana kwa hiyo unayoiona hapo kwenye podium ni nembo ya rais sio nembo ya taifaWadau naomba msaada kwenye hii picha hapa. Mbona simuoni Adam & Hawa?View attachment 2688760
Je umeiona Podium ya leo aliyotumiq kupokelea ripoti ya Tume ya Haki Jinai?
mkuu wakati gani inatumika nembo ya taifa na wakati gani inatumika nembo ya Raisi?Bendera ya rais ina nembo ambayo haina bibi na bwana kwa hiyo unayoiona hapo kwenye podium ni nembo ya rais sio nembo ya taifa
Kwa hiyo kuna matukio Rais anatumia nembo ya Bendera ya Taifa na mengine anatumia nembo ya Bendera ya Rais? Au ni vyovyote tu whichever will come first? Msaada tena hapa hamada umelewaBendera ya rais ina nembo ambayo haina bibi na bwana kwa hiyo unayoiona hapo kwenye podium ni nembo ya rais sio nembo ya taifa
Nadhani ni maboresho wamefanya kwa sababu hapo mwanzo walikuwa wanatumia nembo ya taifa iliyochorwa kwenye podium baadaye wakaja na iliyochongwa kwa sasa naona wameboresha wakaweka nembo ya rais na tokea waanze kuitumia naona hajaiachaKwa hiyo kuna matukio Rais anatumia nembo ya Bendera ya Taifa na mengine anatumia nembo ya Bendera ya Rais? Au ni vyovyote tu whichever will come first? Msaada tena hapa hamada umelewa
Mahali popote anapokuwa rais kunakuwa na bendera ya rais naona wameamua hata podium waweke nembo ya raismkuu wakati gani inatumika nembo ya taifa na wakati gani inatumika nembo ya Raisi?
Duuh mbona hazifanani?