Nembo kwenye mimbari ya Rais imebadilika?

Jaman hayo mambo ya Nembo ya Rais mbona ni mageni kwetu
Any way hao ni Adam na hawa au bibi na bwana?
Ni chaguo lako kuita Bibi na Bwana au Adam na Hawa, same stuff
 
Unaushahidi upi kuwa wale ni Adam na Hawa ?
 
Ajakosea ata siku moja sema tulizoea...Ref. Sheria na 15 ya mwaka 1971
National Flag and Court of Arms Act.
Rangi ni kijani,blue,nyeusi na dhahabu basi
Sawa kumbe njano ndiyo dhahabu yenyewe
 
Walishikilia izo ndovu kwa miaka mingi zisianguke sasa zinaweza kusimama zenyewe kazi yao imeisha Acha wapumzike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…