Nembo kwenye mimbari ya Rais imebadilika?

Ukiangalia utaona bibi na bwana wameondolewa kwenye podium ambayo amesimama Samia tofauti na ile ambayo amesimama Magufuli. Je kuna mabadiliko yamefanyika? Au kuna ujumbe gani hapa unatolewa?


 
hapo chini si kama kuna alama ya majni ya karafuu, ndio kusema kaanza kuitoa znzbar kwenye nembo
 
Naona wameamua kuweka meno ya tembo kama sehemu ya kutangaza utalii

Ngoja wahusika waje watoe ufafanuzi
 
Wakati tunasoma uraia ninyi sijui mlikuwa wapi aiseee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hapo moja ya Raisi Ikulu, nyingine ya Taifa, sijui shida nini sasa
 
Tofautisha presidential standard na coat of arms,hiyo ni civics form one ..mnakwama wapi?
(Uyo Magu alikua anajiamulia tu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…