Kwa hao watu hatutaweza mzee wangu. Tunaogopa kuoteshwa mshipaHii ni kero ya miaka nenda rudi hakuna hatua inayochukuliwa.
Tafadhali NEMC Tanga wadhibiti hawa watu. Kama mmeweza kwenye mabaa na kumbi za harusi, basi na hili halitawashinda.
NEMC yafungia baa, kumbi za starehe 89
Bila hao wa vigodoro kujiongeza NEMC hawatatahangaika nao, pambaneni wenyewe.Hii ni kero ya miaka nenda rudi hakuna hatua inayochukuliwa.
Tafadhali NEMC Tanga wadhibiti hawa watu. Kama mmeweza kwenye mabaa na kumbi za harusi, basi na hili halitawashinda.
NEMC yafungia baa, kumbi za starehe 89
Hata wakiwakuta hawawezi kulipa faini ya sh 250/= NEMC haishughuliki na wasionona.Wale ni ngumu kuwadhibiti kwa sababu wanakua maeneo tofauti kwa nyakati tofauti.
Hahahaha NEMC wakifika wanajikuta na wenyewe wanafurahia jinsi viuno vinavyokatwa na kukatikaHata wakiwakuta hawawezi kulipa faini ya sh 250/= NEMC haishughuliki na wasionona.
Zamani waliamini hvyo, ulikuwa ujinga mtupu vichwani mwa watuKwa hao watu hatutaweza mzee wangu. Tunaogopa kuoteshwa mshipa
kweliHahahaha NEMC wakifika wanajikuta na wenyewe wanafurahia jinsi viuno vinavyokatwa na kukatika
Jadi zetu! kero sana, haya mabo yanapitwa na wakati. Waende kumbini wakate viuno hukoHao ni ngumu fine alipe nani na hata leseni hana kusema utaizuia mambo ya kitamaduni hayo.
Labda umshirikishe mwenyekiti wa mtaa ambaye naye naamini ni mshiriki wa hizo ngoma!
Uwezo wa kuwadhibi upo ila mi nadhani maisha ya wale watu hiyo ndo furaha yao washauriwe tu wapunguze kelele maisha ya kiswazi yapo kama kunangana hivi na kubabaishana