NEMC: Vifungashio vya plastiki ikiwemo chupa za maji mwisho wa kutumika ni Desemba 31


Mitano tena,ukizoea kuumiza ili nafsi yako iridhike,ukikosa wa kuumiza utageukia watoto ili nafsi yako ipone
 
Mteja ukija ofisini kwangu toka na kapu lako nyumbani kabisa
 
Kuna zile tambi za kupika Santa Lucia

Kuna hizi sabuni za OMO au AYU ndani kuna vinailoni

Kuna pipi za kumumusa

Kuna ile mifuko ya mikojo mahospitalini inatumika kwa wagonjwa wasioweza kutembea.

Kuna vyombo vya electronic ndani lazima waweke nailoni,. N.k



Hivo vyote wataweza? Wamejiandaaje?

Kuna vingine havikwepeki.
 
Kiukweli hawakupaswa kufungia hii biashara za vifunganisho, kwani wengi wanaozifanya ni wafanyabiashara wa kipato cha chini, walitakiwa kutoa elimu zaidi kwa wanunuzi pamoja na watumiaji juu ya namna ya kudumisha usafi wa mazingira pamoja na kudhibiti kuenea kwa takataka zinazotokana na vifungashio hivyo....Aisee!!
 
Nadhani hii haiwahusu wale ndugu zetu wa "JPMTANOTENA"
 
kumbuka sio chupa iliyopigwa marufuku bali zile nylon zinazobeba katoni ya maji, katoni ya juice nk.

Mbadala tengenezeni vifungashio vya material ya gunia.

"Comrade awamu hii hakuna kura raha"
Mi nadhani hata vibuyu,,vinafaa kabisa kuwekea hayo maji na ni cheap
 
Chupa za maji wangeziacha zinatumika kutengeneza lami....
soko la chupa tupu za maji linatosha kuziondoa mtaani
 
Na vile viroba Kama Ambiance walizowaambia waziweke kwenye vichupa vya plastic wanafungia😂, BIA YETU atakunywa Nini??
 
Nawauliza NEMC kwanini chupa za MO Energy haziokotwi mtaani? Au mzalishaji wa chupa hizo hana mfumo wa recycling kama sheria inavyotaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…