fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,378
- 11,543
Ngoja tuangalie tu hatuna la kufanyaHakuna atakaepata raha mwaka huu
Ngoja tuangalie tu hatuna la kufanyaHakuna atakaepata raha mwaka huu
Mitanobm tenaKazi ipo!
Sio hivyo! Wanazua taharuki kwa makusudi ili Jiwe aingilie kati na kutengua zuio hili kwa lengo la kuonesha kuwa ni "mtetezi wa wanyonge". Si unaona jinsi umaarufu wake ulivyopungua!Yaani hadi chupa za maji? Hawa ndo wanahatarisha amani ya nchi sasa.
Mitano tenaWatupe mbadala!
Chupa ambazo zinaokotwa ni zile transparent kama za Maji ya Kilimanjaro. Zile za blue za Energy Drink za Mo huwa hawaokoti na hazifai Kwa recycling. Nadhani zile za blue za Mo ndizo ambazo NEMC wanazipiga marufuku.Chupa za maji ukirusha tu hapo hsipiti lisaa teja kaiptia. Sioni mantiki ya kufungia.
Vitatumika coz vnavibari vya TBSKuna zile tambi za kupika Santa Lucia
Kuna hizi sabuni za OMO au AYU ndani kuna vinailoni
Kuna pipi za kumumusa
Kuna ile mifuko ya mikojo mahospitalini inatumika kwa wagonjwa wasioweza kutembea.
Kuna vyombo vya electronic ndani lazima waweke nailoni,. N.k
Hivo vyote wataweza? Wamejiandaaje?
Kuna vingine havikwepeki.
Wakubar na Jim's wanavyokufa na kuumizwa1000 kabisa nawakubali sana waganda kwani wanatuonyesha namna ya kudeal na madictator
sikubali na jinsi wanavyokufa ila uyo museveni lazima atapandiswa kizimbani kama akina al bashiri subiri uoneWakubar na Jim's wanavyokufa na kuumizwa
Wakati huo museven yupo tuli katulia
Vipi kuhusu Condom😂😂😂Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa hadi Disemba 31, mwaka huu kuwa ni siku ya mwisho ya utumiaji wa vifungashio vya chupa za maji, karanga au ubuyu, biashara inayofanywa na wachuuzi wadogo.
Mkurugenzi Mkuu wa NEMC, Dk. Samuel Gwamaka, alisema hivi karibuni limekuwako ongezeko la uzalishaji wa vifungashio vya plastiki ambavyo chanzo chake hakijulikani na ni vifungashio ambavyo havina kibali cha Shirika la Viwango Tanzania (TBS).
Alisema utengenezaji, usambazaji na matumizi ya vitu hivyo ni uvunjaji wa Kanuni Na 3 na 4 za Sheria ya Mazingira ya 2004, kanuni ambazo zilitungwa na kutangazwa 2019 ili kutekeleza katazo la serikali la matumizi ya plastiki.
Kanuni namba 3 inawataka wazalishaji kuwa na kibali kutoka TBS baada ya kukidhi vigezo vilivyowekwa, lakini hali haiko hivyo kwa sasa,” alisema Dk Gwamaka, na kuongeza kwamba kuwapo kwa vifungashio hivyo sokoni ni kinyume cha kanuni ya 4 (b) na (c) ambayo imetungwa na kutangazwa ili kulinda afya ya binadamu, wanyama pamoja na mazingira dhidi ya athari zinazoweza kujitokeza.
Kwa mujibu wa kanuni za upigaji marufuku mifuko ya plastiki, ni marufuku kutengeneza, kuuza, kusafirisha ndani na nje ya nchi, kusambaza na kutumia mifuko ya plastiki kwa ajili ya kubebea bidhaa za aina yoyote.
Kwa mujibu wa kanuni hizo, baraza lazima lisimamie sheria na kuzuia matumizi ya bidhaa zisizoruhusiwa kisheria, alisema Dk. Gwamaka.
Chanzo: Ippmedia
Nani akupe wakati ,nyie mnajipa wenyewe,ila wengine wasubiri wapewe.Watupe mbadala!
Tutatumia test tubeVipi kuhusu Condom😂😂😂
Soon maji yanapanda bei... kama chupa ya maji, utengenezaji wake uwe na kibali cha TBS; ndicho alichosema. Sasa, sasa, sasa "KIBALI CHA TBS" tafasiri yake akili kukichwa! Beberu limekaba haswa!
Wapi papaa musofe [emoji446][emoji443][emoji449]... wahuni wamepiga mpunga wa COVID wakati nchi haikuwahi kuwa na COVID hii! Ukisikia majizi na matapeli ya kimataifa ndio haya.