Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,523
- 30,053
Wapinzani walikuwa wanakwamisha sana maendeleo...Watupe mbadala!
Upewe mbadala wewe nani...??? Tii sheria
Wapinzani walikuwa wanakwamisha sana maendeleo...Watupe mbadala!
1000 kabisa nawakubali sana waganda kwani wanatuonyesha namna ya kudeal na madictatorMitano tena[emoji3][emoji3]
Mitano 🖐Watupe mbadala!
Mkuu nipe huu utaalam niuage umaskiniChupa za maji wangeziacha zinatumika kutengeneza lami....
soko la chupa tupu za maji linatosha kuziondoa mtaani
(b) na (c) ambayo imetungwa na kutangazwa ili kulinda afya ya binadamu, wanyama pamoja na mazingira dhidi ya athari zinazoweza kujitokeza.
Kiukweli hawakupaswa kufungia hii biashara za vifunganisho, kwani wengi wanaozifanya ni wafanyabiashara wa kipato cha chini, walitakiwa kutoa elimu zaidi kwa wanunuzi pamoja na watumiaji juu ya namna ya kudumisha usafi wa mazingira pamoja na kudhibiti kuenea kwa takataka zinazotokana na vifungashio hivyo....Aisee!!
Aisee bwana Don Juan nyie ni mapacha?naona mawazo yanafanana[emoji3]Kiukweli hawakupaswa kufungia hii biashara za vifunganisho, kwani wengi wanaozifanya ni wafanyabiashara wa kipato cha chini, walitakiwa kutoa elimu zaidi kwa wanunuzi pamoja na watumiaji juu ya namna ya kudumisha usafi wa mazingira pamoja na kudhibiti kuenea kwa takataka zinazotokana na vifungashio hivyo....Aisee!!
Ni muda sasa maji tutaanza kuuziwa kwenye vibuyu.....!!Chupa za maji ukirusha tu hapo hsipiti lisaa teja kaiptia. Sioni mantiki ya kufungia.
Hapana, inavyoonekana akili maki Alipendezwa na post yangu hivyo aliamua kuicopy na kuipaste na kisha kuipost!Aisee bwana Don Juan nyie ni mapacha?naona mawazo yanafanana[emoji3]
Hakuna tatizoNEMC
Hakuna atakaepata raha mwaka huuHakuna tatizo
Naziomba mamlaka twende mdogo mdogo. Kwa kasi hii, naiona hatari ya condom nazo kupigwa burn[emoji1787][emoji1787]!!Vipi kuhusu ndoo na mabeseni,,?au na hayo marufuku,turudi kutumia madrum,makalai na ndoo za chuma be na madebe