NEMC: Vifungashio vya plastiki ikiwemo chupa za maji mwisho wa kutumika ni Desemba 31

NEMC: Vifungashio vya plastiki ikiwemo chupa za maji mwisho wa kutumika ni Desemba 31

Neemc has goone craazy! This will make packaged food unpallatable... Very dangerous to eat.. Many 'paperback' packages absorbs moisture which in turn carry water borne or airborne pathogens..
Keeping environment is a second priority but keeping food safety should be a top priority!
 
Beberu linapiga miti kwa sifa mno, lazima tukusanye kila senti ili tujitegemee.
 
Kiukweli hawakupaswa kufungia hii biashara za vifunganisho, kwani wengi wanaozifanya ni wafanyabiashara wa kipato cha chini, walitakiwa kutoa elimu zaidi kwa wanunuzi pamoja na watumiaji juu ya namna ya kudumisha usafi wa mazingira pamoja na kudhibiti kuenea kwa takataka zinazotokana na vifungashio hivyo....Aisee!!
Unawaonea huruma wanyonge?
 
Hili tanko litaondoka na mtu...linahitaji muda tu.
 
Back
Top Bottom