NEMC: Vifungashio vya plastiki ikiwemo chupa za maji mwisho wa kutumika ni Desemba 31

Gwamaka amechoka ukurugenzi wa NEMC. Ameshauriana na wakubwa wake? Yeye anataka kukomaa na kuwa rigid kwenye sheria kwa kitu chenye public interest? Hakujifunza kwa mama AveMaria Semakafu? Kuwa DG wa taasisi ya umma haimaanishi you just jump into matters with public interest without through consultation and sensitization.
 
Yaani hadi chupa za maji? Hawa ndo wanahatarisha amani ya nchi sasa.
Sio hivyo! Wanazua taharuki kwa makusudi ili Jiwe aingilie kati na kutengua zuio hili kwa lengo la kuonesha kuwa ni "mtetezi wa wanyonge". Si unaona jinsi umaarufu wake ulivyopungua!
 
Chupa za maji ukirusha tu hapo hsipiti lisaa teja kaiptia. Sioni mantiki ya kufungia.
Chupa ambazo zinaokotwa ni zile transparent kama za Maji ya Kilimanjaro. Zile za blue za Energy Drink za Mo huwa hawaokoti na hazifai Kwa recycling. Nadhani zile za blue za Mo ndizo ambazo NEMC wanazipiga marufuku.

Ili NEMC wafanikiwe kwenye Vita hii ya kudhibiti chupa za Plastic, wanapaswa wawalazimishe wazalishaji wa Maji/Chupa, wa-attach value kwenye chupa Ili ukiirudisha au kuweka kwenye eneo la kukusanyia (collection center), urudishiwe hela yako. Kwa utaratibu huo, kila Mtu atasukumwa kupeleka chupa aliyoitumia kwenye collection centers Ili arudishiwe hela yake.
 
Vitatumika coz vnavibari vya TBS

Kumbuka wanafungia vfungashio kwa sababu vmekuwa vkizalishwa kiholela sasa vnakosa vbari kutoka TBS, ulivotaja hapo vmeptshwa na TBS hawana tatizo wala mashaka navyo
 
Wakubar na Jim's wanavyokufa na kuumizwa

Wakati huo museven yupo tuli katulia
sikubali na jinsi wanavyokufa ila uyo museveni lazima atapandiswa kizimbani kama akina al bashiri subiri uone
 
Vipi kuhusu Condom😂😂😂
 
Huyu mnyakyusa anaelewa hata outcome yake itavyo kua au amekurupuka tu?
 
... kama chupa ya maji, utengenezaji wake uwe na kibali cha TBS; ndicho alichosema. Sasa, sasa, sasa "KIBALI CHA TBS" tafasiri yake akili kukichwa! Beberu limekaba haswa!
Soon maji yanapanda bei
 
... wahuni wamepiga mpunga wa COVID wakati nchi haikuwahi kuwa na COVID hii! Ukisikia majizi na matapeli ya kimataifa ndio haya.
Wapi papaa musofe [emoji446][emoji443][emoji449]
 
Ukikataza kitu hichi kisitumike unapaswa kuweka na mbadala wake

Sio unaishia kwenye marufuku tu kireja reja
 
Nakumbuka Nikiwa mdogo Shamba la bibi (Uhuru stadium)Walikuja Misri kucheza na Taifa stars..wakati huo Tanzania kulikuwa hakuna viwanda vya kutengeneza maji ya chupa...Tuliwashangaa sana Wamisri wachezaji wao wakinywa maji ya chupa huku Stars wanalindoo na mkikombe mkubwa timu nzima wanalitumia...Miaka Mingi imepita mtu anataka kuturudisha kwenye UJIMA..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…