Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,808
Subiri technology ichukue mkondo utapewa mbadalaYaani hadi chupa za maji? Hawa ndo wanahatarisha amani ya nchi sasa.
Unawaonea huruma wanyonge?Kiukweli hawakupaswa kufungia hii biashara za vifunganisho, kwani wengi wanaozifanya ni wafanyabiashara wa kipato cha chini, walitakiwa kutoa elimu zaidi kwa wanunuzi pamoja na watumiaji juu ya namna ya kudumisha usafi wa mazingira pamoja na kudhibiti kuenea kwa takataka zinazotokana na vifungashio hivyo....Aisee!!
Tunatengeneza vya karatas kwa sasaWatupe mbadala!
Mbona soda zimo kwenye chupa za kioo, zipo bia za chupa za kioo zisizotumika mara ya pili.Yaani hadi chupa za maji? Hawa ndo wanahatarisha amani ya nchi sasa.
Njoon mnunue kaki mifukoLetebi mbadala
Tutatumia za utumbo wa mbuziNaziomba mamlaka twende mdogo mdogo. Kwa kasi hii, naiona hatari ya condom nazo kupigwa burn[emoji1787][emoji1787]!!
Yatagandishwa utauziwa block za barafu ukayayushe kwakoKwaiyo maji nayo yataanza kuuzwa kwenye mifuko mbadala
Sio ndio lililomuondoa mh mZungu?.Hili tanko litaondoka na mtu...linahitaji muda tu.