Mwalimu huyo ! π πJitahidi usiwe mpumbavu
Mkuu huyu Maza anataka kufanya "Nanny State".Hapa Kasumbalesa burudani 24hrs
Bongo watu wivu sana...
Mbinguni ni KUIMBA TU na Malaika....na matarumbeta
Sanaa haikuzwi na baa.Alafu eti wanaiua sanaa
Ehe sanaa ipi hebu tumuulize
Ova
π€£π€£π€£π€£π€£π₯π₯π₯π₯πππππΊπΊπΊπΊπΊNenda kajenge porini kama unataka ukimya.
Aliteyuvisha katambuga na kukunyima elimu hadi leo Kenya kutupita kwa mbali.Mwalimu huyo ! π π
Kuna sheria kuwa miziki isivuke level flani mkuu.Wanaotoa vibali vya hzo bar nao wana makosa kama eneo ni residential unatoaje kibali cha bar na lounge??
Kama wewe huoni faida yake serikali yako inafaidika kupitia kodiUnakomaa kutetea ulevi. Pombe haram, mziki haram Bar zifungwe tu sioni faida yake zaidi ya kuleta hasara na mmomonyoko wa maadili
Umeeleza mengi, lakini umeacha point kuu, sababu za NEMC kuzuia kupigwa kwa mziki. Haya anza na hilo, ili tuchangie Thread kwa hoja.Rais Samia kupitia NEMC umeaamua kuuwa baishara za watu na kuuwa biashara za watu ni sawa na kuuwa watu kabisa!
Mh Rais wewe na wasaidizi wako mnakula raha kila siku na mko angani kila siku mnakula asali lakini sisi wananchi wengine burudani yetu ni muziki lakini mmeona tunafaidi sana ndio maana sasa mnaitumia NEMC kuhakikisha mnatupora hata hiki tulichobakiwa nacho!
Mh ukiwasikiliza baadhi ya wamiliki wa bar utagundua kabisa NEMC sasa hawana tofauti na TRA wanao funga biashara za watuβ¦pia ni wazi kabisa hata wamiliki wenyewe hawajui kabisa hicho kipimo cha kelele badala yake wanashitukizwa na kuambiwa muziki umezidi kiwango hivyo wanafungiwa bar zao na biashara!
NEMC wamekwenda mbele zaidi wanazifungua baadhi ya bar na kumbi kutokupiga muziki kabisaβ¦kupitia EFM nimewasikia baadhi ya wamiliki wa bar wakieleza kwa uchungu jinsi ambavyo wameharibiwa biashara zao!
NEMC wamekwenda mbele zaidi wamezifungia kabisa baadhi ya bar kupiga muziki kabisa ikiwemo Liquid bar ya Dar.
Hivi kweli bar gani itaendeshwa bila muziki nchi hii? Mama Samia hawafanya biashara mnataka wakale wapi? Wataishi vipi?
Hivi kwanini mnataka kuigeuza nchi hii ni ya kidini?
Jamani pesa za serikali mnazitumbua peke yenu na hakuna anayewafanya chochote sasa mnatuzuia hata sisi kuburudika na muzuki? Mnataka tukaishi wapi?
Mkuu leo jioni nataka nikanywe pale Kitaa sijui nikualike kama una nafasi? na tutapiga mziki wa hatareeππ€£π€£π€£π€£π€£π₯π₯π₯π₯πππππΊπΊπΊπΊπΊ
Hii Ni jambo jemaRais Samia kupitia NEMC umeaamua kuuwa baishara za watu na kuuwa biashara za watu ni sawa na kuuwa watu kabisa!
Mh Rais wewe na wasaidizi wako mnakula raha kila siku na mko angani kila siku mnakula asali lakini sisi wananchi wengine burudani yetu ni muziki lakini mmeona tunafaidi sana ndio maana sasa mnaitumia NEMC kuhakikisha mnatupora hata hiki tulichobakiwa nacho!
Mh ukiwasikiliza baadhi ya wamiliki wa bar utagundua kabisa NEMC sasa hawana tofauti na TRA wanao funga biashara za watuβ¦pia ni wazi kabisa hata wamiliki wenyewe hawajui kabisa hicho kipimo cha kelele badala yake wanashitukizwa na kuambiwa muziki umezidi kiwango hivyo wanafungiwa bar zao na biashara!
NEMC wamekwenda mbele zaidi wanazifungua baadhi ya bar na kumbi kutokupiga muziki kabisaβ¦kupitia EFM nimewasikia baadhi ya wamiliki wa bar wakieleza kwa uchungu jinsi ambavyo wameharibiwa biashara zao!
NEMC wamekwenda mbele zaidi wamezifungia kabisa baadhi ya bar kupiga muziki kabisa ikiwemo Liquid bar ya Dar.
Hivi kweli bar gani itaendeshwa bila muziki nchi hii? Mama Samia hawafanya biashara mnataka wakale wapi? Wataishi vipi?
Hivi kwanini mnataka kuigeuza nchi hii ni ya kidini?
Jamani pesa za serikali mnazitumbua peke yenu na hakuna anayewafanya chochote sasa mnatuzuia hata sisi kuburudika na muzuki? Mnataka tukaishi wapi?
Kama ulikwenda bar kunywa bia tatu kisha uondoke kama ukipigwa mziki mzito humo ujue hutaondoka maana kila mziki utakaopigwa utakuwa unajidanganya kwamba unapigiwa wewe π π Kuja kutahamaki pesa yote kwisha habari yake πππSanaa haikuzwi na baa.
Miziki inaypigwa bar hawalipii hata mirahaba yoyote
Unajua walevi hawaoni shida sababu kwanza anakwenda kunywea mitaa ya mbali huko akirudi kwake yupo Chakari hata kama kuna baa ipo mtaani kwake hizo kelele haoni shida maana analala kama amekufa,Yani NEMC washikilie hapo hapoooo, Nchi imekuwa haina utaratibu hata kidogo, yani milevi inavyolalamika haifikirii kabisa kuhusu wengine, mnajenga Bar kwenye makazi ya watu, mnapiga mziki sauti kubwa, huwezi kulala, huwezi kusoma, kama una mgonjwa au unaumwa suala la kupumzika sahau.
NEMC kandamizia hapo hapoMEMC wanaua Biashara na local economy kwasababu ya kumfurahisha Mzanzibari mmoja, Pombe ni asili yetu Tanganyika sio Nchi ya Kiislamu kama Zanzibar.
Karibia MEMC watatulazimisha kuvaa kanzu.
Msifosi Dini zenu kwenye maisha yetu.NEMC kandamizia hapo hapo
Shida humfanya mtu kuwa na akili nyingi ila unakuja kuzigundua hizo akili when itβs too late umeshachelewa kidogo !! Kwahiyo kila jambo lina faida zake na hasara zake πAlitekuvisha katambuga na kukunyima elimu hadi leo Kenya kutupita kwa mbali.
Nani mjinga?
Ila makelele ya kanisani na msikitini mnaona sawa hazina shida kwa wagonjwa!Yani NEMC washikilie hapo hapoooo, Nchi imekuwa haina utaratibu hata kidogo, yani milevi inavyolalamika haifikirii kabisa kuhusu wengine, mnajenga Bar kwenye makazi ya watu, mnapiga mziki sauti kubwa, huwezi kulala, huwezi kusoma, kama una mgonjwa au unaumwa suala la kupumzika sahau.
Nyerere hajaleta akili yoyote zaidi ndie kaiuza Tanganyika yetu kwa kikombe cha kahawa.Shida humfanya mtu kuwa na akili nyingi ila unakuja kuzigundua hizo akili when itβs too late umeshachelewa kidogo !! Kwahiyo kila jambo lina faida zake na hasara zake π