NEMC wamedhamiria kuua baishara ya baa na sanaa kwa ujumla. Baa itaendeshwa vipi bila muziki? Liquid Bar wamezuiwa kupiga muziki

Wanaotoa vibali vya hzo bar nao wana makosa kama eneo ni residential unatoaje kibali cha bar na lounge??
Kuna sheria kuwa miziki isivuke level flani mkuu.
Za nmna hizo nyingi ni grocery sama binadamu ni wagumu wanageuza bar na mziki mnene
 
Rais Samia kupitia NEMC umeaamua kuuwa baishara za watu na kuuwa biashara za watu ni sawa na kuuwa watu kabisa!

Mh Rais wewe na wasaidizi wako mnakula raha kila siku na mko angani kila siku mnakula asali lakini sisi wananchi wengine burudani yetu ni muziki lakini mmeona tunafaidi sana ndio maana sasa mnaitumia NEMC kuhakikisha mnatupora hata hiki tulichobakiwa nacho!

Mh ukiwasikiliza baadhi ya wamiliki wa bar utagundua kabisa NEMC sasa hawana tofauti na TRA wanao funga biashara za watu…pia ni wazi kabisa hata wamiliki wenyewe hawajui kabisa hicho kipimo cha kelele badala yake wanashitukizwa na kuambiwa muziki umezidi kiwango hivyo wanafungiwa bar zao na biashara!

NEMC wamekwenda mbele zaidi wanazifungua baadhi ya bar na kumbi kutokupiga muziki kabisa…kupitia EFM nimewasikia baadhi ya wamiliki wa bar wakieleza kwa uchungu jinsi ambavyo wameharibiwa biashara zao!

NEMC wamekwenda mbele zaidi wamezifungia kabisa baadhi ya bar kupiga muziki kabisa ikiwemo Liquid bar ya Dar.

Hivi kweli bar gani itaendeshwa bila muziki nchi hii? Mama Samia hawafanya biashara mnataka wakale wapi? Wataishi vipi?

Hivi kwanini mnataka kuigeuza nchi hii ni ya kidini?

Jamani pesa za serikali mnazitumbua peke yenu na hakuna anayewafanya chochote sasa mnatuzuia hata sisi kuburudika na muzuki? Mnataka tukaishi wapi?
Umeeleza mengi, lakini umeacha point kuu, sababu za NEMC kuzuia kupigwa kwa mziki. Haya anza na hilo, ili tuchangie Thread kwa hoja.
 
🤣🤣🤣🤣🤣💥💥💥💥👊👊👊👊🍺🍺🍺🍺🍺
Mkuu leo jioni nataka nikanywe pale Kitaa sijui nikualike kama una nafasi? na tutapiga mziki wa hataree😄
 
Rais Samia kupitia NEMC umeaamua kuuwa baishara za watu na kuuwa biashara za watu ni sawa na kuuwa watu kabisa!

Mh Rais wewe na wasaidizi wako mnakula raha kila siku na mko angani kila siku mnakula asali lakini sisi wananchi wengine burudani yetu ni muziki lakini mmeona tunafaidi sana ndio maana sasa mnaitumia NEMC kuhakikisha mnatupora hata hiki tulichobakiwa nacho!

Mh ukiwasikiliza baadhi ya wamiliki wa bar utagundua kabisa NEMC sasa hawana tofauti na TRA wanao funga biashara za watu…pia ni wazi kabisa hata wamiliki wenyewe hawajui kabisa hicho kipimo cha kelele badala yake wanashitukizwa na kuambiwa muziki umezidi kiwango hivyo wanafungiwa bar zao na biashara!

NEMC wamekwenda mbele zaidi wanazifungua baadhi ya bar na kumbi kutokupiga muziki kabisa…kupitia EFM nimewasikia baadhi ya wamiliki wa bar wakieleza kwa uchungu jinsi ambavyo wameharibiwa biashara zao!

NEMC wamekwenda mbele zaidi wamezifungia kabisa baadhi ya bar kupiga muziki kabisa ikiwemo Liquid bar ya Dar.

Hivi kweli bar gani itaendeshwa bila muziki nchi hii? Mama Samia hawafanya biashara mnataka wakale wapi? Wataishi vipi?

Hivi kwanini mnataka kuigeuza nchi hii ni ya kidini?

Jamani pesa za serikali mnazitumbua peke yenu na hakuna anayewafanya chochote sasa mnatuzuia hata sisi kuburudika na muzuki? Mnataka tukaishi wapi?
Hii Ni jambo jema
starehe yako inanihusu nini mie ambaye sihusiki
Tujifunze kufuata sheria taratibu na kanuni tulizo jiwekea wenyewe

Unakuta baa ipo karibu na makazi ya watu kelele usiku kucha kwahiyo ambao hawanywi au kustarehe ndio hawana haki

Wakitoka kwa bar waende kwa nyuma za ibada

Kitakacholiponya hili taifa ni KUFUATA SHERIA TU SI KINGINE
 
Sanaa haikuzwi na baa.
Miziki inaypigwa bar hawalipii hata mirahaba yoyote
Kama ulikwenda bar kunywa bia tatu kisha uondoke kama ukipigwa mziki mzito humo ujue hutaondoka maana kila mziki utakaopigwa utakuwa unajidanganya kwamba unapigiwa wewe 😅😅 Kuja kutahamaki pesa yote kwisha habari yake 😂😂😂
 
Yani NEMC washikilie hapo hapoooo, Nchi imekuwa haina utaratibu hata kidogo, yani milevi inavyolalamika haifikirii kabisa kuhusu wengine, mnajenga Bar kwenye makazi ya watu, mnapiga mziki sauti kubwa, huwezi kulala, huwezi kusoma, kama una mgonjwa au unaumwa suala la kupumzika sahau.
Unajua walevi hawaoni shida sababu kwanza anakwenda kunywea mitaa ya mbali huko akirudi kwake yupo Chakari hata kama kuna baa ipo mtaani kwake hizo kelele haoni shida maana analala kama amekufa,

Ila hata walevi wenyewe hawana familia jamani?au ndio vijana wa hovyo?
 
MEMC wanaua Biashara na local economy kwasababu ya kumfurahisha Mzanzibari mmoja, Pombe ni asili yetu Tanganyika sio Nchi ya Kiislamu kama Zanzibar.

Karibia MEMC watatulazimisha kuvaa kanzu.
NEMC kandamizia hapo hapo
 
Zanzibar wao hunywa pombe wakiwa wamejifungia vyumbani kwa kumuogopa shehe, sisi hapa Tanganyika tunakula Gambe na Mziki na shehe mwenyewe anajumuika.
 
Waje na kwa haya makanisa ya walikole katikati ya makazi ya watu
 
Morogoro,njia ya Mkundi Hospital inaitwa LLC kama sijakosea,aisee wana eneo lao zuri na Wanalaza wagonjwa.
Pembeni yake kuna kanisa hilo wanaanza ibada zao mchana..ni hatari hatari tupu.
 
Alitekuvisha katambuga na kukunyima elimu hadi leo Kenya kutupita kwa mbali.

Nani mjinga?
Shida humfanya mtu kuwa na akili nyingi ila unakuja kuzigundua hizo akili when it’s too late umeshachelewa kidogo !! Kwahiyo kila jambo lina faida zake na hasara zake 😅
 
Yani NEMC washikilie hapo hapoooo, Nchi imekuwa haina utaratibu hata kidogo, yani milevi inavyolalamika haifikirii kabisa kuhusu wengine, mnajenga Bar kwenye makazi ya watu, mnapiga mziki sauti kubwa, huwezi kulala, huwezi kusoma, kama una mgonjwa au unaumwa suala la kupumzika sahau.
Ila makelele ya kanisani na msikitini mnaona sawa hazina shida kwa wagonjwa!
 
Shida humfanya mtu kuwa na akili nyingi ila unakuja kuzigundua hizo akili when it’s too late umeshachelewa kidogo !! Kwahiyo kila jambo lina faida zake na hasara zake 😅
Nyerere hajaleta akili yoyote zaidi ndie kaiuza Tanganyika yetu kwa kikombe cha kahawa.
Very sad.
 
Back
Top Bottom