Enzi ya Nyerere bendi zilipiga muziki open bar ...ni Bayankata majogooo mpaka LyambaMkuu huyu Maza anataka kufanya "Nanny State".
Hahahaaa na kuna Bar nyingi tu zinaitwa Butiama.Enzi ya Nyerere bendi zilipiga muziki open bar ...ni Bayankata majogooo mpaka Lyamba
Acha ujinga! UnapokwendaTwambie sheria inataka bar zikae wapi? Na kwa sheria hipi? Kwanini imeanza leo? Bar zimeanza kupiga muziki leo?
Hahaha Mkuu hawa watoto hajuwi TULIKO TOKA.....Hahahaaa na kuna Bar nyingi tu zinaitwa Butiama.
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe mwamba kiaina [emoji115][emoji115][emoji108]Sisi pia tuna allergy na mabango ya kizushi tunayolazimishwa kuyasoma kila siku stress na pressure zinatupanda.
Bar kuwepo makazi ya watu hakuna ubaya, tatizo ni miziki.Inashangaza unalilia kelele, bar nyingi zimewekwa katikati ya makazi ya watu. Kuna magonjwa yasiyotaka mishtuko, kuna watu kwenye kelele hawalali. Kuna wanafunzi wanahitaji kujisomea.
Mbaya zaidi hizi bar wengine wamewekeana karibu, kwa maana hiyo wanashindana nani muziki wake utasikika zaidi. Wafikirie na watu wengine wanaoishi jirani. Wafanye utaratibu muziki uwe wa wastani usiokera wengine.
60 Mchana, 40 UsikuWaweke viwango vilivyoruhusiwa kisheria(Decibel) ,usiangalie upande mmoja ,angalia pia upande wa wagonjwa ambao hawahitaji makelele.
Waraka wa nemc unawahusu hata nyumba za ibada isipokuwa katika miito ya ibada, kengele na adhana tu.Cha kushangaza makanisa yanayopiga kelele ni mengi kuliko bar
we mshamba nenda kajifunze kwa wenzako waliostaarabika. Bila hata haya unakuja kuandika huu upumbavu? Huna adabu, starehe zako ziwe kero kwa wenzio na baada unaona ni sawa, ubinafsi wa kiwango huo? Kwa ufupi mkaheshimu haki za wenzenu na mkatii heria bila shuruti. Serikali imechelewa sana kuchukua hatua nawapongeza sana waendelee bila kukatishwa tamaa na mapoyoyo km haya. Haki yako inaishia pale inakoanzia haki ya mwenzako/wenzako.Rais Samia kupitia NEMC umeaamua kuuwa baishara za watu na kuuwa biashara za watu ni sawa na kuuwa watu kabisa!
Mh Rais wewe na wasaidizi wako mnakula raha kila siku na mko angani kila siku mnakula asali lakini sisi wananchi wengine burudani yetu ni muziki lakini mmeona tunafaidi sana ndio maana sasa mnaitumia NEMC kuhakikisha mnatupora hata hiki tulichobakiwa nacho!
Mh ukiwasikiliza baadhi ya wamiliki wa bar utagundua kabisa NEMC sasa hawana tofauti na TRA wanao funga biashara za watu…pia ni wazi kabisa hata wamiliki wenyewe hawajui kabisa hicho kipimo cha kelele badala yake wanashitukizwa na kuambiwa muziki umezidi kiwango hivyo wanafungiwa bar zao na biashara!
NEMC wamekwenda mbele zaidi wanazifungua baadhi ya bar na kumbi kutokupiga muziki kabisa…kupitia EFM nimewasikia baadhi ya wamiliki wa bar wakieleza kwa uchungu jinsi ambavyo wameharibiwa biashara zao!
NEMC wamekwenda mbele zaidi wamezifungia kabisa baadhi ya bar kupiga muziki kabisa ikiwemo Liquid bar ya Dar.
Hivi kweli bar gani itaendeshwa bila muziki nchi hii? Mama Samia hawafanya biashara mnataka wakale wapi? Wataishi vipi?
Hivi kwanini mnataka kuigeuza nchi hii ni ya kidini?
Jamani pesa za serikali mnazitumbua peke yenu na hakuna anayewafanya chochote sasa mnatuzuia hata sisi kuburudika na muzuki? Mnataka tukaishi wapi?
Huna hoja.
Bar lazima waweke mziki wa juu?
Kama mnataka muziki wajuu jengeni bar nje ya mji pasipo makazi ya raia.
Wananchi pembezoni mwa bar wanateseka sana.
Katika hili niko na serikali
Nchi ina wajuaji wengi wanaonuka umasikini na wivu wa kutosha.
Wasichojua tunategemeana sana...
Unafunga bar Lakin TRA wanadai VAT returns ya 18% bado SDL na Takataka kibao...
Kelele kwa baa hapana., ila kwa maspika ya makanisa sawa..
Nchi ina mamlaka zaid ya 40 na zote zinasimamia kitu kimoja.